DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
sio mikoani tu, wengine wametoka zambia, congo, burundi na rwanda. wamekuja kufunga mzigo kariakoo. ila wakinga najua ni wajanja sana wanagoma hapo kumbe nasikia wameweka maduka ya jumla Tunduma, wazambia na wakongo wanafungia mzigo pale, wachaga sana wa kariakoo wanaungana nao kumbe wenzao biashara inaendelea tunduma. sijafika hivi karibuni tunduma ila nasikia wakinga wameweka store zao za kariakoo tunduma.
Stoo za kariakoo ziwe Tunduma !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Stoo za kariakoo ziwe Tunduma !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
wanasema ni branch, na kule tunduma wanachukua kwa bei ile ile ya kariakoo. mkinga ana duka kariakoo na tawi la bei ile ile ya juma kaweka tunduma. kwa hiyo mkigoma yeye biashara inaendelea na wateja wengi wanaotoa pesa ndefu ni wazambia na wacongo wanafunga mzigo. sasa ndugu zangu wachagga wa kariakoo msiingie mkenge, ninyi ndio mtafilisika kwasababu biashara zenu zitasimama.
 
Kina wafanya kigoma ni Nini
Kifachofanyika ni.sheria kutekelezeka
Tu maduka mengi yakioko kariakoo yamegeuka kuwa store.
Hata hivyo kutoa lisit kwa muzaji ni takwa la kisheria na wala si hiar.

Wauzaji wa maduka watoe lisit na sivinginevyo na tangazo likwishatoka kwa kwa ugaguzi kwa wafanyabiara nnchi nzima kuona muzaji na manunuzi amapewa lisit na muzaji anatoa lisit

Watoe lisit tu kwa maendeleo ya taifa letu

Wasilete janja janja kariakoo
Lisit??

Hii ndio jf
 
Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo.

Sababu za kuitisha mgomo
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti

Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi.

Rai kwa mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka hili jambo lisitokee. Pale ni kitovu cha biashara ukanda huu. Makosa kidogo tunaweza hamisha hii biashara kwa jirani zetu.
Hii ya pili na ya tatu naunga mkono yaendelee kufanywa cause wafanyabiashara wetu si waaminifu. Under rate imekuwa kubwa na hizo store zinatumika kama vichochoro vya kukwepa kodi. Mtu anaweka mzigo kwenye store tofauti Ili kuwadanganya TRA. Hiyo ya bandarini tu ndio kuna hoja upande wa wafanyabiashara.
 
Serikali ya ccm tangu imekaa madarakani ni miaka ya mtumishi wa serikali kustafu, lakini hadi Leo hii bado Tanzania inaagiza mahindi, ngano, Michele na sukari kutoka nje ya nchi pamoja na ardhi yenye rutba nyingi tena ni kubwa kuliko hata mahitaji yetu, lakini walishindwa kuendeleza pale alipo ishia mkoloni kwenye swala la maendeleo hasa upande wa kilimo, walicho chukua wao ni wizi tuu hamna kingine,

Natamani siku moja wakiwa kwenye mkutano wao pale dodoma atokee alshababu ajilipue, awaue wote washenzi wale
 
sasa bro, wewe na we si mtanzania? hebu tuonyeshe shamba la ngano au la mahindi unalolima? sisi wananchi tunatakiwa kuchukua hatua kufanya kilimo biashara, sidhani kama serikali haijaweka mazingira rafiki ya kilimo. ukisafiri kwa basi unakutana na mapori kila sehemu yapo tu, hakuna watu wa kulima ila tunalaumu serikali kwamba inafanya watu waagize chakula nje? hizo akili au matope? wewe umefanya nini walau ili kutuhakikishia kuwa ukishika nchi utakuwa na pa kuanzia.
 
Serikali ya ccm tangu imekaa madarakani ni miaka ya mtumishi wa serikali kustafu, lakini hadi Leo hii bado Tanzania inaagiza mahindi, ngano, Michele na sukari kutoka nje ya nchi pamoja na ardhi yenye rutba nyingi tena ni kubwa kuliko hata mahitaji yetu, lakini walishindwa kuendeleza pale alipo ishia mkoloni kwenye swala la maendeleo hasa upande wa kilimo, walicho chukua wao ni wizi tuu hamna kingine,

Natamani siku moja wakiwa kwenye mkutano wao pale dodoma atokee alshababu ajilipue, awaue wote washenzi wale
Yaaani...
Tumebaki kuwa maomba omba.
 
Mkuu heshima kwako.

Unadhan nin kifanyike?, Kumbuka serikali haina uwezo wa kufanya biashara wala kuendesha viwanda.
Solutions ipo! Tatizo wanaoweza kurekebisha hilo awapiti JF. Ningeweka hapa hiyo Solution
 
Ni kweli, Na Hatufungui KWELI...

Kama maisha yanaenda bila k.koo kaeni sasa tuone mwisho wake.

Ubunifu zero,kodi kila eneo usifanye hiki hawa hapa,usiweke hiki Hawa hapa

Yani unashindwa hata waelewa wanachotaka ni nini na miaka yote marais wengine walikua wanaendeshaje Nchi!
Hali vipi huko leo?
 
TRA ndio kikwazo kilubwa cha Biashara Tanzania waende Zambia au SA wakajifunze Nchi imekua ya rushwa kila siku wanafikiria kuwabana Wafanyabiashara hapo Zambia au SA utanunua kiasi chochote na utauza kiasi chochote hata kupeleka mzigo Lusaka hakuna presure yeyote kama kupeleka hiyo hiyo bidhaa Tanzania ni wezi sana ndio maana tuna uhaba wa bidhaa na bandari tunayo Wakongo wengi wamekimbia kisa kunyanyang'anywa mizigo yao na kuambiwa ishu ya risiti wakati Johannesburg wageni tunaoingia SARS inatulinda na tuendelee kununua tena Tanzania TRA ni kikwazo kwa wageni kushika mizigo yao wao hakuna wanachojua kwenye biashara zaidi ya kukwamishana tuu...ndio maana Wafanyabiashara wengi wamekimbilia Lusaka,Jhb na Lilongwe endeleeni na ujinga wenu huku mkikwamisha maendeleo ya Watanazania hapo Nairobi na Kampala nashangaa bidhaa za kumwaga kuliko daslm na sisi tuna bandari kubwa kuliko Kenya tuna matatizo sehemu sio bure...
 
TRA wanapigwa mapema na Kariakoo Dabi!! Utakuja niambia!!
Na mimi leo sifungui, na hatufungui tena hadi kieleweke, maana ni mgomo usio na kikomo 😂, wacha tuendelee kufanya biashara mtandaoni tu.

Back
Top Bottom