Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasijaribu... Dola haiwezi kutikiswa na hawa wafanya biashara wapumbafu wenye mitaji ya milioni hamsini hamsini ambao wameanza kuota pembe na kudhani kuwa wana korodani kubwa kuliko dola... wataumia!Mm nimembiwa na mmoja wa wafanyabiashara kariakoo kuwa wanagomea tozo zinazolazimishwa mizigo ya stoo
Safi Sana. Ukiritimba umezidi. Tangu mpendwa wetu atutoke hali imekuwa shagalabagala hovyo kabisa kuna watu wamejimilikisha nchiHakuna haja ya porojo , jisomee mwenyewe .
View attachment 2622142
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
hawa ni wa kukamata. wapande tu ndege waende hata marekani wakaone kama kuna uhuru wa biashara wanaousema hapo. uhuru wa biashara utakuja kama unaingiza mizigo kihalali na unatoa kodi. hapo watakulinda na kukulinda, ila pale unapokwepa kodi ukaona unafuatiliwa unaanza kugoma, ni ujinga. though najua hapa anayetafutwa ni watu wa bandarini, lazima watafukuzwa.Hakuna haja ya porojo , jisomee mwenyewe .
View attachment 2622142
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
sio mikoani tu, wengine wametoka zambia, congo, burundi na rwanda. wamekuja kufunga mzigo kariakoo. ila wakinga najua ni wajanja sana wanagoma hapo kumbe nasikia wameweka maduka ya jumla Tunduma, wazambia na wakongo wanafungia mzigo pale, wachaga sana wa kariakoo wanaungana nao kumbe wenzao biashara inaendelea tunduma. sijafika hivi karibuni tunduma ila nasikia wakinga wameweka store zao za kariakoo tunduma.Kuna namna tunakosea,hili Tangazo wametoa lini?
Kuna watu wako dar leo wanasubiri kesho waingie kariakoo wakusanye mzigo,wengine wametoka mikoani na hata nje ya nchi...huu mgomo utawaathiri sana.
Watafungua watakuhudumia watafunga hawawezi kufunga Kwa mtu wa mbaliKuna namna tunakosea,hili Tangazo wametoa lini?
Kuna watu wako dar leo wanasubiri kesho waingie kariakoo wakusanye mzigo,wengine wametoka mikoani na hata nje ya nchi...huu mgomo utawaathiri sana.
Wabongo walivyo wanafiki usistaajabu huyo alietoa maagizo ya kuchapa hilo tangazo akawa wa kwanza kwenda kufungua duka lake asubuhi.Mlioko huko mjini mtatupa mrejesho wa kitakachotokea hiyo kesho.
Hakuna hiyoEndeleeni kupima uwezo wa wanawake kwenye uongozi. Huwa wanatafsiri kuwa mnawadharau kwakuwa wanawake, reactions zao mtajuta. Endeleeni, kugoma muone matokeo yake.