KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kulinda viwanda vya ndani kwa nchii iliyojaa mafisad ni ujinga! Imagine sukari inayotoka nje inabei nafuu kuliko inayozalishwa ndani,Nchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya ndani kukua...
mfuko wako ndo unaongea na maamuzi yako pia kwenye hoja ya fake itoe kabisaNchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya ndani kukua
Naunga mkono hoja ...wachina wabaki ili kuamsha bongo za wafanya biashara wazawa maana ni goigoi wanao taka faida kubwa.Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.
Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.
Source
EATV
My Take
Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
Nothing's wrong with that.Africa is already a Dumping ground for foreign commodities.
Mna viwanda gani vya ndani nyie vya kushindana na China ?Nchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya ndani kukua...
Sio sukari pekee. Bidhaa nyingi zinazozqlishwa nchini zina bei ya juu mno halafu hata sio kwamba zina ubora kivile.Kulinda viwanda vya ndani kwa nchii iliyojaa mafisad ni ujinga! Imagine sukari inayotoka nje inabei nafuu kuliko inayozalishwa ndani,
Kuna umuhimu gani sasa kulinda viwanda vya ndani? Ili iweje?
Inashangaza sana.Kulinda viwanda vya ndani kwa nchii iliyojaa mafisad ni ujinga! Imagine sukari inayotoka nje inabei nafuu kuliko inayozalishwa ndani,
Kuna umuhimu gani sasa kulinda viwanda vya ndani? Ili iweje?
Yaani nyau mchina? Hii sijawahi ona πWachina hadi mawinga wapo π