Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

Nchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya ndani kukua...
sio fake vinaletwa kulingana na uwezo wetu wa kununua.
viwanda vyetu vinaweza vikazalisha ila havina mpango mkakati kwenye soko hapo ndotunakopigwa chenga ya mwili
 
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.

Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.

Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

Source
EATV

My Take
Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
Cha msingi wananchi kupata mahitaji yao. Wafanyabiashara washindane, anayeshindwa basi huyo si mfanyabiashara.
 
Biashara huria ..wateja tunachagua tununue fake au original masuala ya kusema Africa sijui ndio dampo huo ni upuuuzi .kwa uchumi wetu bila bizaa fake maisha ya watu wa chini yatakua tabu mnoo
 
Unajuq sheria zq uwekezaji nchini zina ruhusu kufanya kazi gani? Mgeni anapoingia nchini halafu anafanya biashara ambazo amekatazwa kisheria na zimeachwa kwa ajili ya wazawa ni uliukwaji wa sheria. serikali iko wapi?
Labda wameomba uraia na kukubaliwa.
 
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.

Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.

Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

Source
EATV

My Take
Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.

Bado, nasema Bado sijaelewa mchina anawezaje kupata resident permit halafu awe machinga, Bado sijaelewa!
 
Nchi nyingi za kiafrika zimejaa wachina na bidhaa zao fake! , hapo tena tusahau viwanda vyetu vya

Hoja ni bidhaa fake, kama wanaleta bidhaa zenye ubora sioni tatizo.
Watanzania wangapi wanaweza ku afford bidhaa original? Ndiyo maana nguo za mitumba zina nunuliwa zaidi. Magari tunanunua used. Wabongo wangapi wanaweza ku afford electronics original za samsung, LG?
 
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.

Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.

Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

Source: EATV

My Take: Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
Ebwana kweli kabisa Wachina wameshtuka wao wapo kutusaidia watuuzie vitu kwa gharama nafuu ila wabongo wapo kutupiga hii nilishaishuhudia sehemu aisee
 
Zikitangulia bidhaa duni kupindukia za machina, mchaga na mkinga wakawa wanagombana wao Kwa wao ndidi ya bidhaa.
Sasa amekuja machina choko kwa kivuli cha mwekezaji, naona mchaga na mkinga wanagombana nae.
Serikali iko pale inasikilizia.
Ndio maana US na kwingineko serikali zimeshtuka zinafukuza machoko
Acha mchina auze kwa bei nafuu wewe raba unakomaa 55k kumbe kwa mchina 15k tu mnapiga watu na vitu vizito pumbavu mnataka mjenge mahekalu?
 
Kulinda viwanda vya ndani kwa nchii iliyojaa mafisad ni ujinga! Imagine sukari inayotoka nje inabei nafuu kuliko inayozalishwa ndani,

Kuna umuhimu gani sasa kulinda viwanda vya ndani? Ili iweje?
Kama Sukari zinazotoka nje zinawekewa kodi kidogo, halafu za ndani mikodi kama yote unategemea nini?.

NEMC, OSHA, TRA,TBS, WSF,SDL,NSSF,FIRE. Tanzania ndio sehemu pekee viwanda vya ndani vinatozwa Kodi kubwa kuliko bidhaa zinazotoka nje.

Baada yakulipa pesa Kodi zote hizo, au pesa zote hizo kwa mwenyekiwanda bado nafaida yake inakatwa Kodi 30%.

Ufisadi ndio sababu.
 
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja.

Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na kuchukua namba za wateja na kuwapeleka kwenye maduka yao.

Soma Pia: Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

Source: EATV

My Take: Wafanyabiashara wa Tanzania wana tamaa sana.....wanataka faida kubwa sana.....kitu cha 3,000/= wanaweza kukuuzia 30,000/= Mchina abakie kariakoo tupate nafuu wanunuzi.
nashauri na hao wa kariakoo walioko huko China warudishwe huku kwao
 
Tatizo ni Serikali sio TBS.
Tumia akili japo kidogo, toka lini serikali haijawahi kuwa tatizo?

Serikali ya Ghaddaffi Libwa, kila kitu kilikuwa bue, mpaka mahari za kuon wanapewa na serikali, bado ikaonekana ni tatizo.

Ushindwe wewe uisingizie serikali?
 
Back
Top Bottom