Wafanyabiashara mnaolipa media kuwachafua wachina mnapoteza muda, Wateja tunawataka wachina

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.

Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina, mnapoteza muda na pesa.

Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.

Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)

Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
 
Ila ndio pesa yao haikai bongo kila siku usiku wanazipeleka kwao
PESA INABAKI
  • wanalipa kodi, Tatizo letu ni mafisadi na wezi wa kodi.
  • wanauza bei rafiki, wanakubakizia chenji kubwa mfukoni
  • watanzania wanapata ajira, pesa inabaki
Kuhusu pesa yao wanayoipata hatuwezi kuwapangia, hata watanzania wanaoishi China na nchi nyinginezo wakipata pesa wanatuma Tanzania, Ni vema tuwe tunafikiria mambo haya kwa kina.
 
Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa, acheni kuwalipa watangazaji mnapoteza muda na pesa.

Kila leo wachina wanazungumziwa kwa tone ya kuwachafua, TUMESHAWASTUKIA !! wafanyabiashara wanalipa watangazaji kupazia sauti mambo yao.

Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.

Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)

Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
Mawinga ni wengi sana Kariakoo. Wafanyabiashara wengi wana sample tu ila mzigo wanasema upo store lakini ukweli ndio unafuatwa kwa mwenye mali uje upigwe.
 
Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.

Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina, mnapoteza muda na pesa.

Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.

Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)

Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
Nin Hao Ma?! Ni jiao shenme mingzi ?!
 
Back
Top Bottom