Kodi inalipwa na wotePESA INABAKI
Kuhusu pesa yao wanayoipata hatuwezi kuwapangia, hata watanzania wanaoishi China na nchi nyinginezo wakipata pesa wanatuma Tanzania, Ni vema tuwe tunafikiria mambo haya kwa kina.
- wanalipa kodi, Tatizo letu ni mafisadi na wezi wa kodi.
- wanauza bei rafiki, wanakubakizia chenji kubwa mfukoni
- watanzania wanapata ajira, pesa inabaki
sasa suala la discount mbona kawaida mzee, Negotiation kwenye biashara ipo me naweza nikawa nauza bidhaa 100000 fixed lakini akaja mteja anaejua kujitetea na na maneno mengi nikamuuzia kwa 70000…. Sio hivyo hata akaja ndugu nikamuuzia kwa hiyohiyo kuna wakati naweza kukubali kumuuzia mtu kwa bei ya hasara kwa kuwa nataka kuingiza mzigo mpya au kwa faida ndogo kwa kuwa amenishawishi au kwa kuwa hali sio rafikiHapo sio kupendana. Wafanyabiashara wa bongo ndio mnaongoza kukosa upendo.
Kuna siku nilikwenda China Plaza pale KKoo kuna simi nilikua nataka kununua.
Ile simu niliambiwa inauzwa TZS. 750,000 kuna jamaa yangu alikua kwenye shop moja ya mitandao ya simu (voda/airtel/halotel) akaenda kuniombea. Ile simu niliinunua kwa TZS. 550,000
Kwa ufupi ni kwamba mchina anapunguza ukali wa maisha ?sasa suala la discount mbona kawaida mzee, Negotiation kwenye biashara ipo me naweza nikawa nauza bidhaa 100000 fixed lakini akaja mteja anaejua kujitetea na na maneno mengi nikamuuzia kwa 70000…. Sio hivyo hata akaja ndugu nikamuuzia kwa hiyohiyo kuna wakati naweza kukubali kumuuzia mtu kwa bei ya hasara kwa kuwa nataka kuingiza mzigo mpya au kwa faida ndogo kwa kuwa amenishawishi au kwa kuwa hali sio rafiki
Faida zinaenda na percent ya mtaji wa mzigo, Mtu hawezi akaimport mzigo kwa mtaji wa milioni alafu akaja kuuza kwa milioni na laki moja lazima auze kwa faida ya kufidia gharama zote pamoja muda
Ningekuelewa kama ungetengeneza hoja ya ziwekwe njia zenye unafuu za kufanya mtanzania asiumizwe katika kuimport bidhaa ili kupunguza gharama kuwa juu.
Wachina wanauza kwa bei nafuu sana kwa kuwa wao ndo wazalishaji wenyewe na wana uzoefu na uwezo wa kuingia ubia na viwanda vya kwao wakatengeneza mzigo mwingi kwa kujua hata kama watapata faida ndogo kwenye kila bidhaa ila zitatoka kwa wingi ila mbongo yeye anaingiza mzigo mdogo kwa kunasia kwa kuwa mtaji na uwezo wa kufanya kwa ukubwa haupo
Maisha hayapungui ukali maana asilimia kubwa cheap is expensive… Hamna filter watu wanauziwa vitu vyenye ubora chini ya viwango vinavyofanana na uhalisia kwa sababu ubora kwao sio issue bali gharamaKwa ufupi ni kwamba mchina anapunguza ukali wa maisha ?
Watanzania tunauana. Jana nilinunua Drum ya wino kwa Tsh 1.1M wakati leo nikiangalia Alibaba ni USD 53 ambayo ni TShMnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.
Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina, mnapoteza muda na pesa.
Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.
Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)
Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
Watz tatizo letu kubwa ni ujinga...hujaelewa mantiki ya kinachoongelewa itakuwa.Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.
Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina, mnapoteza muda na pesa.
Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.
Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)
Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
we inakuhusu nini?Ila ndio pesa yao haikai bongo kila siku usiku wanazipeleka kwao