Mtanzania anapata ajira gani wewe zwazwa? Kama yeye atanunua bidhaa kwa mchina ili auze kwa bei ya kumpa faida lakini wewe hautonunua kwake kwa kuwa unataka kununua kwa mchina mwenyewe ili usimpe faida mbongo mwenzako?PESA INABAKI
Kuhusu pesa yao wanayoipata hatuwezi kuwapangia, hata watanzania wanaoishi China na nchi nyinginezo wakipata pesa wanatuma Tanzania, Ni vema tuwe tunafikiria mambo haya kwa kina.
- wanalipa kodi, pesa inabaki
- wanauza bei rafiki, pesa yako inabaki mfukoni
- watanzania wanapata ajira, pesa inabaki
mchina ameona mzunguko wa bidhaa zake umekuwa mdogo , wafanya biashara wa kibongo wanamcheleweshaMnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.
Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina, mnapoteza muda na pesa.
Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.
Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)
Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
Hapa inabidi tupate machimbo ya wachina
Pesa inabakiTunajua kuwa hatupendani na tuu wabinafsi ila kama ukijaribu kuweka hizo roho mbaya pembeni changanua mbongo akipata hiyo faida ya sh, 20000 utagundua bado inazunguka hapahapa nchini na italeta faida kwa taifa kimapato au umpe mchina faida ya 10000 apeleke nchini kwao azidi kukuletea bidhaa wewe ununue alafu uje kusema hela haionekani vyuma vimekaza?
anafungua boostermchina ameona mzunguko wa bidhaa zake umekuwa mdogo , wafanya biashara wa kibongo wanamchelewesha
akaona aje mwenyewe sasa🤣🤣
Waafrika sisi haswa wabongo ni asilimia kubwa ni ******* tu qumamake..ubinafsi chuki na roho mbaya tu ******* wakubwa nasema hivi wachina waendelee kubaki kwa wingi na wazaliane kwa wingi hapa bongo ili akili zikae sawa kumamakeh..Watu wanapenda kulia lia sana,
Jitu na akili zake analalamika Mchina "anatuharibia soko kwa kuuza bidhaa bei ya chini"?
Yaani hoja imekaa kiroho kibinafsi binafsi tuu, na hata aibu haoni.
Mchina halipi kodi.PESA INABAKI
Kuhusu pesa yao wanayoipata hatuwezi kuwapangia, hata watanzania wanaoishi China na nchi nyinginezo wakipata pesa wanatuma Tanzania, Ni vema tuwe tunafikiria mambo haya kwa kina.
- wanalipa kodi, pesa inabaki
- wanauza bei rafiki, pesa yako inabaki mfukoni
- watanzania wanapata ajira, pesa inabaki
Ndio maana kkoo kupata machimbo ya wachina ni mziki. Utayumbishwa na mawinga ad unakata moto unajikuta umejaa kwa wabongo. Nilitafuta sana chimbo la jeans la wachina , nilizungushwa na winga ad nikajikuta nimejaa kwa mbongo kwa 22k. Wachina ni msaada kwa wafanyabiashara wachanga.Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.
Kila leo wachina wanazungumziwa kwenye vyombo vya habari, TUMESHAWASTUKIA !! acheni kuwalipa watangazaji kuwasagia kunguni wachina, mnapoteza muda na pesa.
Yaani mfanyabiashara wa bongo anataka aende China kununua radio elf 10 aje bongo kutupiga elf 50, Tumechoka !! Ukienda kwa mchina sasa, Ahhhhh!! wala hana tamaa, ana subira, atakuuzia maybe elf 15, hata nguvu za kuomba punguzo zinakuisha zaidi ya kutoa shukrani.
Propaganda za wafanyabiashara wa bongo zinashangaza, zimejaa chuki na ubaguzi, Uchumi wa nchi nyingi duniani ni soko huru, wabongo wengi tu wapo China wala hawafanyiwi haya mambo, wakiamua kufungua maduka au viwanda ni ruksa ila ni kujipanga tu kwenye ushindani, wengi wamekuwa mawinga wala hawasemwi lakini kinachoendelea huku ni ubaguzi (Xenophobia)
Uzuri ni kwamba wateja tupo upande wa wachina 😀😀 nchi yetu ni 3rd world country tunawahitaji kutupunguzia ukali wa maisha, Tumechoka kupigwa !!
Hizo ni za kwao, pesa za mkinga zinakuja kwako?Ila ndio pesa yao haikai bongo kila siku usiku wanazipeleka kwao
Suala la kodi lipo zaidi kwenye uwajibikaji wa serikali -Mchina halipi kodi.
Pesa ya Mchina haikai NMB au CRDB.
Pesa ya mchina inakaa ndani, au China Dasheng Bank.
Mchina amekodi nyumba Mikocheni anapangisha wachina wenzake na anafanyia shughuli zake kwa viwanda vidogo vidogo.
Mchina pesa yake haipo kwenye mfumo.
Wewe mfanyabiashara wa TZ, unamdai mchina aliyoko China, utalipwa na Mchina aliyopo bongo kwa pesa alizokusanya bongo. Halafu Mchina wa bongo na mchina wa China watamalizana kwenye account za China huko huko. Mifumo ya TZ haioni kitu.
200 200 zimeishia kwenye mabonanza ya kamari ya wachina. Kazi yao ni kutembea na Noah tu kukusanya pesa.
In short. TZ Ni mazuzu na maboya
Zikikaa bongo wanafaidi wachache, bora tu ziende kwaoIla ndio pesa yao haikai bongo kila siku usiku wanazipeleka kwao
Na wabongo walioko china wailete hela yao kila siku usiku Tanzania pia ili iwe GG.Ila ndio pesa yao haikai bongo kila siku usiku wanazipeleka kwao
🥺🥺🥺🥺😭😭duhZikikaa bongo wanafaidi wachache, bora tu ziende kwao
Ni ngumu sana hatuna huo uaminifu na miundombinuNa wabongo walioko china wailete hela yao kila siku usiku Tanzania pia ili iwe GG.
Wabanwe vipi?Suala la kodi lipo zaidi kwenye uwajibikaji wa serikali -
Mchina anapofungua biashara iwe ni duka, kampuni, kiwanda, n.k. sheria zinambana alipe kodi. Ikitokea mchina kakwepa kodi basi anatumia mbinu wanazotumia wafanyabiashara wabongo, Kuna watumishi wa serikalini wana njaa kali sana, badala ya kulipa kodi ya milioni 10 unaweza kuwapoza kwa kuwapa milioni 2, utauza bidhaa bila risiti ukiwalipa, n.k.
Pesa yako unaweza kuamua ikae benki yoyote, Ni yako.
Suala la mgeni kurudisha pesa nyumbani ni kawaida, hata wabongo wa nchi nyingine wanarudisha pesa kwa ndugu zao wa TZ, kwanini wachina wabanwe ?
Hapo sio kupendana. Wafanyabiashara wa bongo ndio mnaongoza kukosa upendo.Tunajua kuwa hatupendani na tuu wabinafsi ila kama ukijaribu kuweka hizo roho mbaya pembeni changanua mbongo akipata hiyo faida ya sh, 20000 utagundua bado inazunguka hapahapa nchini na italeta faida kwa taifa kimapato au umpe mchina faida ya 10000 apeleke nchini kwao azidi kukuletea bidhaa wewe ununue alafu uje kusema hela haionekani vyuma vimekaza?
We unasikiliza hao wafamaji? Mchina tena ndio anaogopa kukwepa kodiHawalipi kodi?
Hawakwepi kodi.We unasikiliza hao wafamaji? Mchina tena ndio anaogopa kukwepa kodi
Mnavyoona wateja wamewakimbia wanaenda kwa wachina wala hakuna ndumba bali ni bei zao zinavutia, Ili mpambane na wachina punguzeni tamaa ya ganji (faida) kubwa.