Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania.

Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
 
Kwani hilo tamko la serikali limetaja wakenya au wanajistukia tu.

Chini East African Community (EAC) Treaty, makubaliano ya soko huria yanaruhusu movement ya watu, bidhaa, mitaji, uhuru wa kufanya kazi popote, kufungua biashara, kuajiri, kuajiriwa au kujiajiri popote ndani ya jumuiya.

Sasa sidhani kama matamshi ya serikali ya Tanzania kuhusu wageni ina wahusu raia wa Kenya au EAC member states.

Yaani JF unaweza sema uwe msomaji unakuta topic inavyojadiliwa unabaki unajiuliza hivi kwenye hili jukwaa ni asilimia ngapi wamewahi kusoma ata kitabu cha siasa elementary.

Sasa hiko ni kitu cha kushanga wakenya kulalamika, wakati Tanzania inavunja agreement za ‘common market protocol’.

Dah
 
Hawa jamaa wanajiona special sana kwamba wao ndiyo giant hapa yaani kila kitu wanahisi wao ndiyo wanaoguswa tu
 
Kwani hilo tamko la serikali limetaja wakenya au wanajistukia tu.

Chini East African Community (EAC) Treaty, makubaliano ya soko yanaruhusu movement ya watu bidhaa, mitaji, uhuru wa kufanya kazi popote, kufungua biashara, kuajiri au kujiajiri popote ndani ya jumuiya.

Sasa sidhani kama matamshi ya serikali ya Tanzania kuhusu wageni ina wahusu raia wa Kenya.

Yaani JF unaweza sema uwe msomaji unakuta topic inavyojadiliwq unabaki unajiuliza hivi kwenye hili jukwaa ni asilimia ngapi wamewahi kusoma ata kitabu cha siasa elementary.

Sasa hiko ni kitu cha kushanga wakenya kulalamika, wakati Tanzania inavunja agreement za ‘common market protocol’.

Dah
Mkuu, tunaongozwa na watu wajinga sana..mfumo wetu wa kupata viongozi ni mbovu mnoo!
 
Na sisi Tanzania tumecharuka walizuia mtanzania mwenzetu Rostam Aziz asijenge kiwanda cha gesi Mombasa kisa wanataka ukiritimba kampuni za wakenya akina Odinga nk ndio washike sector ya gesi

Baada ya Tanzania kucharuka wamefuta kesi mahakamani mbio
Rostam mwarabu
 
Wakenya wana nongwa sana
 
Na sisi tukizuiwa kwa Watanzania kwenda huko Kenya kuwa ombaomba tutakuwa tumeumizwa sana! Maana wamejaa (matonya) wengi huko
 
Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania.

Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
katika mazingira kama haya ndio huwa napima IQ ya raia wa kenya, kuanzia viongozi hadi kapuku. hakika, ni watu wenye akili ndogo sana ya kufikiri. ati mtu anasema ubalozi wa kenya ufungwe Tanzania, anasema watanzania walopo kule ni ombaomba tu as if hakuna mkenya ombaomba, matusi kibao. hadi Rais wao nilimsikia mwezi uliopita anatamba kwamba kwa dunia nzima, kenya ndio wanajua kiingereza na ndio watu wenye kiingereza kizuri; nikajiuliza, kile kile kiingereza ninachowasikia wakenya ndio bora? na mbona kuna wakenya wengi sana hawajui kabisa kiingereza? ukienda kwenye makanisa yao wanakuwa na mkalimani wa kiswahili, na kiswahili nacho hawajui.
 
Kwani hilo tamko la serikali limetaja wakenya au wanajistukia tu.

Chini East African Community (EAC) Treaty, makubaliano ya soko huria yanaruhusu movement ya watu, bidhaa, mitaji, uhuru wa kufanya kazi popote, kufungua biashara, kuajiri, kuajiriwa au kujiajiri popote ndani ya jumuiya.

Sasa sidhani kama matamshi ya serikali ya Tanzania kuhusu wageni ina wahusu raia wa Kenya au EAC member states.

Yaani JF unaweza sema uwe msomaji unakuta topic inavyojadiliwa unabaki unajiuliza hivi kwenye hili jukwaa ni asilimia ngapi wamewahi kusoma ata kitabu cha siasa elementary.

Sasa hiko ni kitu cha kushanga wakenya kulalamika, wakati Tanzania inavunja agreement za ‘common market protocol’.

Dah
Mkuu usilaumu jf members tu bila kujua nini kimetokea kutoka kwa ndugu zetu wakenya.

Ebu wasikilize kwanza ndiyo uje na jibu tafadhali
 
Back
Top Bottom