Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania.

Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
Hivi ulipotelea wapi???
 
Waambie basi wasitii hiyo sheria waendelee.

Mnabonga kama mmekatwa vichwa.

Halafu jueni hiyo sheria sisi wananchi ndio tumeitaka, na serikali imetusikiliza.
Treaty ipo juu ya sheria ya nchi, serikali ijitoe kwanza kwenye pact ya EAC ‘common market protocol’ vinginevyo hiyo yenu aiwahusu raia wa EAC.
 
Maelezo yasiwe mengi. Waamboe wafanue wanavyojisikia.

Jumuiya ya EA haimaanishi, exporting problems
 
Acha kutoa vitu kichwani kwako hayo mambo yanataratibu sio kukurupuka tu asubuhi moja kuja na katazo.

Kaiambie kwanza serikali yako ijitoe kwenye ‘common market protocol’ ndio hiyo sheria iwe na nguvu kwa raia wa EAC.
 
Hatujitoi na hatuheshimu maamuzi, fanyeni mnachotaka.
 
Omba omba kwa omba omba!! Wananyimana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Biashara ndogondogo ni zamzawa tu, wakenya amejazana bongo wakafanye biashara kwao huko
 
Back
Top Bottom