Ulishawahi kuona mtu anagombana na daladala ili awahi airport? Uelewe uchumi wa nchi kwanza kabla ya kugomba. Pia kama mnataka wekeni stand kila barabara ya kutoka nche ya mji. Msitese watu wakutanike sehemu Moja kama kumbikumbi.Miji inakua lazima kuwe na transit route enyi wenye vichwa vigumu. Mbona mtu akiwa anasafiri kwa ndege anatoka kibaha kuwahi ndege ya saa nane usiku na halalamiki? Acheni uvivu wa kulala. Kuna ajabu gani hapo la kuamka mapema mbona bar mnakesha 😂️😂️😂️😂️
Swali Kuna wapanda ndege wanakimbizana na daladala? Ukimuona huyo ni kapewa hiyo tiketi. Kuna standard ya wapanda gari ambayo haijafika mnakotaka. Pia usafiri wenu wa umma ni mbovu kiasi kwamba unaweza hata achwa na hilo gari.Ni mazoea tu..kwani usafiri wa ndege inakuwaje??Watu wanakaa Kiluvya ..wanawahi ndege hapo JNIA...wanajiandaa mapema.
Tusiishi kwa mazoea tufuate utaratibu
Tatizo kuna baadhi ya viongozi wanataka tufikiri wanavyotaka wao hata kama uwezo wao wa kufikiri ni mdogoSwali Kuna wapanda ndege wanakimbizana na daladala? Ukimuona huyo ni kapewa hiyo tiketi. Kuna standard ya wapanda gari ambayo haijafika mnakotaka. Pia usafiri wenu wa umma ni mbovu kiasi kwamba unaweza hata achwa na hilo gari.
Au unataka tupande bodaboda tugongwe tufe mbaki wenyewe huku duniani?. Kama abood ananichukua Mbagala ananipeleka Moshi nyie inawauma Nini?
Acha uvivu. Mabasi yote hayo yana mfumo wa online wa kukata ticket na kwenye huo mfumo wana options za kuonesha unataka kupandia kituo gani na kushukia kituo gani.Abood Bus service
BM
Ally's star
Katarama
Happynation
Kilimanjaro
Tilisho
Kimbinyiko
Shabiby
Newforce
N.k
Ni miongoni mwa kampuni nyingi ambazo hazitaki kuingia Magufuli Bus terminal....usafiri wa asubuhi ni kazi sana , wanapita juu kwa juu
Basi nendeni huko kwenye ndege acheni kutulazimisha tushuke magufuli stand tununue karanga zenu wakati hatutakiTunauza kule juu gift free shops
Hii hata mimi nimeipenda.Tutaangalia interest ya abiria. Ndio maana huko kote Kuna mabasi yanaanza huko. Kwa watu wa mbande, kimbiji etc Kuna stendi Kigamboni, chanika, Temeke nk. Kwa bunju mabasi yanapitia njia ya bagamoyo au anaweza kukimbilia basi magomeni au urafiki Lazima tuwa appreciate wenye mabasi kwa kuwajali abiria baadala ya kulaumu.
Na hivyo ndivyo inavyofanyika siku zote, pakilia popote lakini lazima upite stendi kuuBinafsi nashauri hi!! Bus lazima ipite stendi husika, then inaweza kuendelea na ruti za ofsini kwake. Kutokupita kabisa si suala la kushabikia, huko ni kutumia pesa za watanzania ovyo. Na vitu kama stendi vinawapa ajira watanzania wengi sasa mkigeuza kuwa magofu wale walioko pale wakaibe??
Wahujumu uchumi mmeshikwa pabaya safari hii...mtarudi tu Magufuli bus terminalAcha uvivu. Mabasi yote hayo yana mfumo wa online wa kukata ticket na kwenye huo mfumo wana options za kuonesha unataka kupandia kituo gani na kushukia kituo gani.
Usilazimishe turudi enzi za ujima.
Tatizo tuliowapa dhamana wanatumia mtizamo wa zidumu fikra za......... Hizo fikra haziwezi kuendana na madiliko yaliyopo kwa Sasa, (kukabiliana na changotmoto zilizopo na zijazo)Na hivyo ndivyo inavyofanyika siku zote, pakilia popote lakini lazima upite stendi kuu
Acha kuishi kijima. Kama umeshindwa kuishi mjini rudi kijijini ukalimeWahujumu uchumi mmeshikwa pabaya safari hii...mtarudi tu Magufuli bus terminal
Sijui kama umenielewa, ni kweli kwamba biashara hutegemea watu, lakini Je lengo la watu wanaokuja pale ni nini? wanakuja kupanda mabasi tu, hawalazimiki kununua chochote zaidi ya tiketi, Usifananishe Stendi na Kariakoo, kupeleka biashara Stendi ni kamari ya kitoto sana, lambalamba saa 10 alfajiri utamuuzia nani?S
Siyo kweli, biashara inategemea watu wanao kuzunguka pamoja na hao abiria, changamoto ya hizi biashara zilizoko kwenye stendi bidhaa huuzwa Kwa bei ya juu,(biashara nyingi ni za kulazimisha mteja anunue), hata mimi Huwa spendelei kununua vitu stendi, hata hivyo unatakiwa uuze bidhaa ambazo unajua wateja watazinunua na siyo unazo fikiria watanunua, (you have to sale what you know they are going to buy not what you what you think they are going to buy).
Soma ulicho andika mara ya kwanza na ndicho nimekujibu pia soma na kuelewa nilicho kiandikaSijui kama umenielewa, ni kweli kwamba biashara hutegemea watu, lakini Je lengo la watu wanaokuja pale ni nini? wanakuja kupanda mabasi tu, hawalazimiki kununua chochote zaidi ya tiketi, Usifananishe Stendi na Kariakoo, kupeleka biashara Stendi ni kamari ya kitoto sana, lambalamba saa 10 alfajiri utamuuzia nani?
Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.
Sasa Stand ya bus ya nini kama unaweza panda na kushuka popote?
Huyo mzee anayeitwa Andondile Mwambela mwenye bichwa kama bumunda anayezungumza pumba kwa majidai na kilevi atakuwa ametokea wapi zaidi ya Tukuyu mkuu?!Hahaaaaaa, unatuvunjia heshima watu wa Tukuyu bro. Tuombe radhi.
Ndivyo ilivyokuwa hapo mwanzo japo hata mimi huo utaratibu nautambua kwamba siyo rafiki Hawa kuangalia mfumo mzima wa biashara ya usafirishaji ukuwaji wa mji na ongezeko la watuhakuna gar lisilo ingia terminal mkuu apo umeelewa vibaya wanataka watu washushwe wote hapo gari liondoke tupu na liingie hapo likiwa tupu
Kama mabasi kutumia ofisi zake kupakia abiria inakuuma sana iambie serikali ijenge stendi za mabasi kama hiyo Magufuli kila wilaya, kote Temeke, Kigamboni, Ilala na Kinondoni kuwe na stendi za kupakia na kushusha abiria kama ilivyo mikoa mingine.Sasa wenye Mabasi hawatakiwi waachwe huru kiasi hiko....
Lazima wafuate utaratibu,,,
Mana sasa hayo Mabasi hadi Chanika na Vijibweni nisha yaona.....
Hatakama tupo Soko huru lakini lazima vitu vifanyke kwa utaratibu...
Yaani watu badala ya kutatua kero za abiria wanatengenrza kero Kwa abiria Raisi anahimiza utatuaji kero.Wenye mabasi wanatua kero za abiria viongozi wanatengeneza kero Kwa abiriaAcha uongo. Abood lazima aingie stendi ya Magufuli kupakia. Hakuna basi aliingii pale stendi kupakia, wanachofanya ni kuwapa abiria offer ya kuwabeba nje ya kituo Cha stendi ya Magufuli. Ilitakiwa wapongezwe kwa moyo mzuri.