Mkuu shekilango sio stendi, zile ni ofisi za wenye mabasi.Sidhani kama ni kufanya biashara wanahitaji hao wa Magufuli Terminal tu, hata waliopo shekilango nao wanafanya biashara. Hiyo hoja ni dhaifu sana
Mimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Kieneo cha dar ni kidogo sana. Ni ngumu mtu kutoka ulanga akapandie moro (ulanga to moro ni kama safari ya mkoa hd mkoa ndo maana tunahitaji stendi ulanga). Sasa dar eneo dogo kila sehemu panafikika within 1 hour then unahutaji stend ya nn?
Nahesabu kuanzia center ya wilaya ilipo. Umbali hatuchukulii huko nanjilinji, huwa unachukuliwa kutoka center ya eneo husiki. Ukisikia Dar to mwanza ni km 1200 hawachukui umbali wa bango la umeingia mwanza na bango la umeingia mkoa wa dar.
Mkuu abood hana stendi Ubungo, ile ni ofisi yake, abiria wa maeneo hayo hupita pale kuhitaji huduma, sasa ache kuwa chukua kisa wanatakiwa waanzie safari Mbezi??? Unaona iko sawa???Miongoni mwa wamiliki wasiotaka kupakia abiria Magufuli Bus terminal ni ABOOD.
Kuna mabasi yanaanzia safari kigamboni.ulazima
Pengine hamjui maana ya ofisi ndo maana mnageuza ofisi khiyo paleama sehemu ya stendi. Ofisini kwako ni
Niseme wazi Kuna wakati nikikutana na Afisa wa serikali mjinga kama wewe Huwa najiuliza kwanza alipataje ajira huyu mjinga? Kwa hiyo hatujui maana ya ofisi ? Hivi zile ofisi pale bandarini za meli za kwenda Zanzibar kazi yake kukata tiketi na kupokea mizigo tu? Na pale stendi ya Tazara na ofisi ya TRC pale ofisi zao kazi Yao kukata tiketi na kupokea mizigo na kutuma tu na ofisi za pale Airport kazi Yao kukata tiketi na kutuma na kupokea mizigo tu? Ee Mungu nisamehe nisije nikakuporomoshea matusi ya nguoni mjinga wewePengine hamjui maana ya ofisi ndo maana mnageuza ofisi kama sehemu ya stendi. Ofisini kwako ni sehemu ya abiria kupata tiketi, kutuma au kupokea mzigo uliotumwa.
Yes!! Hii ndo watu hawataki kuelewa, mimi mwenyewe nasapoti kupakia yaendako na kushusha vtuo ambavyo viko mwanzo. Magufuli stendi iwe kituo cha mwsho kuwa na abiria ndani ya gari. Hii ya kushushia hadi ofsini hapana labda kuwabeba kipindi inaanza safari ndo iwachukue huko ianziako then iptie wa stendi itembeeMwisho tutasema na SGR iwafuate huko huko tuliko (joke).
Anyway, my point is serikali lazima iwe na vituo maalumu ambapo mabasi yanaanzia. Kwa jinsi Dar ilivyo na magari mengi kuruhusu kila basi lianzie linakotaka ni vurugu mechi. Yanaongeza msongamano. Mabasi yote yaanzie Magufuli kama kituo cha kwanza kikuu lakini yaruhusiwe kusimama njiani huko mbeleni yanakoelekea mbele ya safari kuchua abiria wao.
Wa mwakatobe wasafiri kufika mjini ndo wasafiri. Tubataka kuua ajira za watu kisa unafuu (boda wa mwakatobe ale wapi kama bus zinakusanya hadi huko).😀😀
Wewe umevurugwa kweli.
Kwa hiyo hao wa mwakatobe sio Abiria?
Angalia tu usije kufikia kusema hata hospitali za wilaya/manisipaa Dar ni matumizi mabaya ya pesa za umma watu wote wanatakiwa walundikane hospitali moja tu. Tutamuambia moderator akupige ban na kukuondoa kabisa humu jukwaani.Wakuu wa wilaya ni sababu ya kuhudumia idadi ya watu na si geographically. Kijiografia dar ni ndogo sana kuiwekea stend 3 ni matumiz mabaya ya pesa za umma.
Wenye mabasi Wana roho nzuri viafisa vya serikali baadhi Yao ndivyo vina roho mbaya kama shetaniWa bus walishajiongezea ndo maana wana hamu ya kukufikisha unapotaka. Wese hata likishuka bei hutowasikia wakiomba nauli kushushwa. Hapo wanawaondolea kulalamika kuwa nauli za bus ni kubwa kisa wanakufikisha kitaani kwako.
Naunga mkono hojaAngalia tu usije kufikia kusema hata hospitali za wilaya/manisipaa Dar ni matumizi mabaya ya pesa za umma watu wote wanatakiwa walundikane hospitali moja tu. Tutamuambia moderator akupige ban na kukuondoa kabisa humu jukwaani.
Kwa kosa gani?? Hospitali ni watu wanahitaji huduma ya chapu syo mlundikano wa kusubiri matibabu. Stend ya magufuli imeshindwa kuhimili idadi ya watu mbachelewa kisa stendi ndogo au? Bus zipo ni muda kufika we unatembea tu. Sasa km hospitali ingekuwa na uwezo wa kuhudumia watu milioni 1 kwa pamoja bila kusubiria kuna haja gani kuweka hospitali ya pili wakati ya kwanza tu inawahudumia wote bila shida.Angalia tu usije kufikia kusema hata hospitali za wilaya/manisipaa Dar ni matumizi mabaya ya pesa za umma watu wote wanatakiwa walundikane hospitali moja tu. Tutamuambia moderator akupige ban na kukuondoa kabisa humu jukwaani.
Unahitaji Elimu jinsi mikopo ya nchi inavyolipwa.. pole sanaTutalipa kulingana na makusanyo ktk stendi zetu mnazogomea kufanya nazo kazi.
Wa mwakatobe wasafiri kufika mjini ndo wasafiri. Tubataka kuua ajira za watu kisa unafuu (boda wa mwakatobe ale wapi kama bus zinakusanya hadi huko).
Tuambie inalipwaje kama siyo kutokana na makusanyo ya kodi kutoka ktk vyanzo mbali mbali ikiwemo ushuru wa stendi?Unahitaji Elimu jinsi mikopo ya nchi inavyolipwa.. pole sana
Huyo ni mshamba ambaye hajawahi kufika Dar, hajui ndani ya Dar kuna sehemu na wakati watu wanatumia hadi masaa matatu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Hiyo nusu saa umeihesabu kutokea wapi?
Mtu atoke Twangoma mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa?
Mtu atoke Mabwepande mpaka Mbezi atatumia hiyo nusu saa. Vipi chanika?
Hoja zenu hazina mashiko kwa sababu hazingatii ukweli.
Utaratibu uendelee kama ulivyo.
Juzi nilikuwa natoka Bukoba, nimeingia saa 10 usiku. Yaani mizigo kibao alafu nishuke Mbezi wakati Basi Limerahisisha huduma.
Lengo la serikali ni kurahisisha huduma kwa wananchi na serikali kujipatia kipato.
Ungesema mfumo uliopo unaukosesha serikali mapato au kuwapa ugumu wananchi ungekuwa na hoja.
Lakini sivyo
Wenye mabasi wanalipa in advance na abiria Kodi inakatwa Kodi kwenye tiketi mnataka Nini nyie ? Kama sio ugomvi wenye mabasi chenu wamewapa kama ushuru abiria chenu wamewapa kama Kodi inayokatwa kwenye tiketiTuambie inalipwaje kama siyo kutokana na makusanyo ya kodi kutoka ktk vyanzo mbali mbali ikiwemo ushuru wa stendi?
Mkuu anafungaje ofisi za watu, kwa kosa gani?? una ushahidi kuwa hawapiti Magufuli???Hassan Bomboko, Dc wa wilaya ya Ubungo aache kuhangaika na machangudoa wa Riverside na Sinza badala yake ajikite hili suala linalotokea katika kata yake ya Mbezi na ubungo.
Aamke alfajiri akafunge ofisi za haya Mabadi pale urafiki na shekilango ayaamuru yakapakie mbezi, magufuli bus terminal