Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Waambie hao mama zako na wajomba zako wanaotegemea pesa za wasafiri warudi kijijini wakalime, Nyie wamachinga mkidekezwa mtawapanda watu vichwani kabisa kwa hoja za kipuuzi eti mikono yenu iende kinywani , kuna wakati mlikuwa mnalazimisha kufanya biashara zenu hadi barabarani kwa hoja hizo hizo za kipuuzi bila kujali wengine nao wana haki ya kuzitumia hizo barabara.Lakini pia ni nzuri wao kuuza pipi, vituo kama hivyo vilistahili kuwa fursa kwa vijana na mama zetu kujipatia kipato. Kama una kazi maalum usione wanaolalamikia hili kama wakosefu, iliwasaidia mkono kwenda kinywani