Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Tusigeuze stendi kama check point, shusha abiria wakatafute makwao. Hivi wewe ukiangalia ni kweli wamiliki wa bus wamekuwa wazalendo kwa abiria kiasi cha kutaka kuwasaidia kuwafikisha karibu na kwao kama siyo kuna jambo linawaidisha wao.Ninyi ndio mkiwa viongozi mnatesa wananchi.
Kiongozi bora ni yule anayetoa huduma akirahisisha maisha ya Watu.
Ishu hapo ni kodi na huduma rahisi kura raia full stop.
Kama kuna chochote kimeguswa hapo ndio ipo haja ya kutazama jambo hilo