Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Hakuna abiria aliyeibua hayo ni nyie wamiliki. Abiria akishajua utaratibu ni huu yeye atafuata ndo maana sijaskia abiria akisema nitagoma kutumia bus ila wamiliki ndo wanasema watagoma.

Anayegoma ni mfanyabiashara.
Uliwahi sikia migomo ya wagonjwa au wateja sokoni?
 
Wanashauri ujinga fikiria mtu anaishi Boko au Mwenge basi Lina Toka Arusha au Moshi au Tanga linalopita Njia hiyo Kwa hiyo linapita hapo Boko na hapo Mwenge linakwenda na abiria Hadi stendi ya Magufuli linawashusha kule waanze kutafuta usafiri wa kurudi Mwenge na Boko basi linarudi tupu hata kama linapaki Mwenge au boko si.biashara kichaa hiyo

Au mtu anaishi mbagala anatoka Lindi na Mtwara basi linafika mbagala linapitiliza mbagala na huyo abiria Hadi stendi ya magufuli linamshusha atafute usafiri wa kurudi mbagala basi linarudi mbagala tupu hata kama linapaki mbagala huo ni wendawazimu

Hakuna abiria atakubali Hilo
Kabisa aliyetoa ushauri ni mjinga haswa, wafanya biashara wawafuate wateja
 
Tatizo la Dar es salaam kwenye uongozi ni mawili wengi wa viongozi WA Dar kuwepo huwekwa sababu wanapendelewa Wana connection lakini vichwani hamna kitu wenye akili hupelekwa mikoani ndio maana mikoani kunafanya vizuri

Pili viongozi wengine huhamishiwa Dar Kwa sababu za kiafya ili wakae karibu na hospital ya rufaa ya Mloganzila na Muhimbili wanakotakiwa kuwa wanahudhuria matibabu mara Kwa mara Kwa hiyo mkoa unakuta unaongozwa na wagonjwa wazima wako mikoani

Hii combination ya akili finyu na wagonjwa ndio inasababisha hizo chaos tunazoona

Jiji la Dar linahitaji watu wazima na wenye akili hasa
🤔🤔🤔
 
Hakuna abiria aliyeibua hayo ni nyie wamiliki. Abiria akishajua utaratibu ni huu yeye atafuata ndo maana sijaskia abiria akisema nitagoma kutumia bus ila wamiliki ndo wanasema watagoma.
Abiria anaangalia utaratibu wa LATRA wa mfumo wa kukata tiketi unaoonyesha basi anapandia wapi na kushuka wapi sio porojo za wahuni barabarani za maneno

LATRA ndie kaweka mifumo ya wapi MTU apandie basi au kushuka

Abiria hatutegemei Tu wamiliki au matangazo ya magari ya matangazo kuwa pandia Magufuli ya vigari vibovu vinapita na vispika uchochoroni
 
Kwa hyo ukiwa haupo kwenye bus huwa unafanyaje? Tupaze sauti magari ya mwenfokasi yawe mengi na si kuharibu taratibu za vituo vya bus
Bro umepaza sauti uchaguzi sio huru na haki ulisikilizwa lini? We have a system that is broken from within. Usimtese mtu Kwa ukiritimba wa ajabu.
Pia tunatakiwa tuwe na point za kutokea nje ya mji labda pale Tegeta Kwa ajili ya Bagamoyo Road, Kilwa road sehemu kituo kimoja na Morogoro road tayari kipo. Pia waruhusiwe kupakia along the way.
Pia tuifanye Magufuli iwe station na sio final destination au starting point. Be creative sometimes aisee.
 
Hao vichwa panzi wakijua na hili utaona wameitisha mkutano mwingine wakitaka gari zote zianze safari kwa pamoja saa kumi na mbili asubuhi, hoja watakazokuja nazo sasa itakuwa vituko vitupu, wanaweza kusema hiyo lodge hapo ghorofani stendi haipati mapato hivyo serikali nayo inapoteza mapato.
🤣 🤣 🤣
 
Unauhakika?
Kwani Daladala wanapokushusha kwenye vituo wanalipa kodi ya kushusha na kupakia?

Kwa mfano unatoka Mwanza unashukia Mikese Morogoro, gari litatakiwa kulipa kodi ya kushusha na kupakia abiria wa hapo Mikese?
Halitakiwi, ila likifika stendi linatakiwa kulipa ushuru ndo mnachokikwepa. Lengo la serikali kuweka stendi si tu basi kupta bali na kuweka ajira kwa watu na pia kumbuka ni jukumu la serikali kulinda ajira za watu hivyo shusheni abiria stendi ili circulation ya pesa iwepo eneo hilo.
 
Abiria anaangalia utaratibu wa LATRA wa mfumo wa kukata tiketi unaoonyesha basi anapandia wapi na kushuka wapi sio porojo za wahuni barabarani za maneno

LATRA ndie kaweka mifumo ya wapi MTU apandie basi au kushuka

Abiria hatutegemei Tu wamiliki au matangazo ya magari ya matangazo kuwa pandia Magufuli ya vigari vibovu vinapita na vispika uchochoroni
Kama latra imeruhusu kupanda na kushuka eneo fulani hilo halina shida. Shida ni hii ya kulazimisha kushusha kila sehemu kisa bus linapita eneo hilo, usimamaji wa bus usifanywe km wa hiace
 
Halitakiwi, ila likifika stendi linatakiwa kulipa ushuru ndo mnachokikwepa. Lengo la serikali kuweka stendi si tu basi kupta bali na kuweka ajira kwa watu na pia kumbuka ni jukumu la serikali kulinda ajira za watu hivyo shusheni abiria stendi ili circulation ya pesa iwepo eneo hilo.

Kuna gari hailipi ushuru pale Mbezi?
Ajira gani iliyopotezwa ?

Au ndio nyie wauzaji wa bidhaa?
 
Kuna gari hailipi ushuru pale Mbezi?
Ajira gani iliyopotezwa ?

Au ndio nyie wauzaji wa bidhaa?
Hiyo hiyo ya wauzaji wa bidhaa. Ukiona eneo lako wameweka hospitali basi ujue kuna fursa imekuijia, sasa eneo wameweka stendi ninyi mnataka kuzikimbiza fursa. Hilo si takwa la serikali
 
Hiyo hiyo ya wauzaji wa bidhaa. Ukiona eneo lako wameweka hospitali basi ujue kuna fursa imekuijia, sasa eneo wameweka stendi ninyi mnataka kuzikimbiza fursa. Hilo si takwa la serikali

Sasa serikali inaingiaje kwenye ishu ya wewe kutafuta wateja?
 
Bro umepaza sauti uchaguzi sio huru na haki ulisikilizwa lini? We have a system that is broken from within. Usimtese mtu Kwa ukiritimba wa ajabu.
Pia tunatakiwa tuwe na point za kutokea nje ya mji labda pale Tegeta Kwa ajili ya Bagamoyo Road, Kilwa road sehemu kituo kimoja na Morogoro road tayari kipo. Pia waruhusiwe kupakia along the way.
Pia tuifanye Magufuli iwe station na sio final destination au starting point. Be creative sometimes aisee.
Stend kuu inastahili kuwa final destination, shule raia zote peleka gari service. Kuwa creative ni kuangalia namna gani tuchukue abiria kutoka kwenye final destination towards other locations. Suggest labda kuwepo na bus za mwendokas kutokea eneo hilo kwenda sehem zingine mnakoona kulistahili kuwe na huduma hiyo
 
Nenda kajifunze huko nje. Endeleeni aisee acheni kujifungia sehemu Moja. Halafu sio amri kumi hizo.
 
Sasa serikali inaingiaje kwenye ishu ya wewe kutafuta wateja?
Ni jukumu la serikali kukuwekea mazingira wezeshi ktk biashara yako. Mfano walipohamisha wamachinga ili serikali kuwalinda wamachinga iliwalazimu kuongeza ruti za daladala kususha huko walikopelekwa.
 
Ni jukumu la serikali kukuwekea mazingira wezeshi ktk biashara yako. Mfano walipohamisha wamachinga ili serikali kuwalinda wamachinga iliwalazimu kuongeza ruti za daladala kususha huko walikopelekwa.

Kama wéwe machinga únataka mazingira wezeshi kwa nini hautaki abiria wawekewe mazingira wezeshi?
 
Nenda kajifunze huko nje. Endeleeni aisee acheni kujifungia sehemu Moja. Halafu sio amri kumi hizo.
Nje watu wanajifunza vingi, vizuri na vibaya so siyo kila kitu lazima ujifunze nje. uliyetoka nje umejifunza kuwa jam ya dar ni sawa na ya huko ulikokuwa?? Miundombinu ya dar ni sawa na huko ulipoenda?? We have to act according to our environment
 
Mazingira wezeshi ndo kama hayo ya uwepo wa stendi ya kisasa.

Ninyi masoko yenye machinga haujui yalipo nikuelekeze?

Mumeacha vizimba vyenu kule machinga Complex mnaenda kusumbua abiria huko stendi.

Hata serikali imewawekea ninyi mazingira yenu ya kufanyia biashara.

Mnataka mji mzima mzagae hovyo hovyo?

Au wewe ni Sarange?
 
Back
Top Bottom