Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Hivi ni nani alishauri kwamba kujenga stendi nje ya miji ni mipango miji?.
Siyo kushauri!! Hiyo ipo ktk mikakati ya kupanua miji. Hatutaki mjini kujaa takataka, tukisogeza huduma za stendi pembezoni na makazi yatahamia huko pia.
 
Wakuu wa wilaya ni sababu ya kuhudumia idadi ya watu na si geographically. Kijiografia dar ni ndogo sana kuiwekea stend 3 ni matumiz mabaya ya pesa za umma.
Na dar inawatu milioni 5,383,000. Unataka ihudumiwe na stendi moja Tena iliyopo mpakani na mkoa wa pwani?.
 
Umbali kutoka Stendi ya Moshi vijijini(Himo) to Moshi ni 35 Km
Umbali kutoka Bunju wilaya ya Kinondoni to Wilaya ya ubungo Mbezi luis stendi ni 33km.

Kutoka Mbagala kongowe wilaya ya temeke to Mbezi luis wilaya ya ubungo ni 35km
Kutoka Moshi mjini to Hai(boma ng'ombe stendi) 50km

Kuna magari yanaanzia wilayani pasipo kupitia makao makuu ya mkoa na moja kwa moja yanaenda mikoa au wilaya zingine.
Ndyo yapo. Ila dar tunataka kuwe na final destination siyo kutenga wilaya to wilaya, ndo utofauti wa Dar na majiji mengine
 
Wakuu wa wilaya ni sababu ya kuhudumia idadi ya watu na si geographically. Kijiografia dar ni ndogo sana kuiwekea stend 3 ni matumiz mabaya ya pesa za umma.
Idadi ya watu ndio hupelekea kuanzisha wilaya na hata mkoa. Kaangalie vigezo vya kuwa manispaa inahitaji idadi ya watu wangapi.
 
Stendi tunaangalia eneo na si watu. Watu tutaaangalia idadi ya mabus kuweza kumudu uhitaji.
Duuh! Yani unajenga stendi bila kuwa na uhakika ya idadi ya watu watakao hudumiwa na hiyo stendi.
 
Na dar inawatu milioni 5,383,000. Unataka ihudumiwe na stendi moja Tena iliyopo mpakani na mkoa wa pwani?.
Kwani stendi imezidiwa na idadi ya watu?? Stendi kubwa lile linawaweza watu wote wa dar wanaosafiri kwenda mikoani. Ipo mpakani na mkoa wa pwani ila magari ni mengi kukutoa hapo hasi unakotaka ni tofauti na mikoa mingine mingi. Ukifika saa 4 huwez kuoata usafiri wa kwenda kwenu
 
Ndyo yapo. Ila dar tunataka kuwe na final destination siyo kutenga wilaya to wilaya, ndo utofauti wa Dar na majiji mengine

Stendi yoyote inaweza kuwa final destination ya abiria wa eneo husika
Ndio maana nikakuambia kama lengo ni hilo basi zile njia za kutokea kwenda mkoani(nje ya Dsm) kama vile Bagamoyo road na ile njia ya kusaini kule Mbagala kujengwe stendi ambapo kutakuwa na mabasi yatakayoanzia huko.

Na sio utoe mawazo ya kikatili kama hayo.
Kwa sasa bajeti ni ndogo ya kujenga basi utaratibu uendelee huu uliopo.
Simple
 
Yani miafrika ni matahira yawe yamesoma au hayajasoma,yani una nchi kila bus lina Ofisi yake linashusha wanapotaka wao halafu kuna majitu yanaona ni sawa eti kisa tu sijui wengine wanaishi Bunju mara Mbagala.

Hivi huu uzezeta utakwisha lini jamani,kuna maana gani ya kujenga hizi stendi za mabasi sasa?? Ukienda pale manzese hadi magomemi ni Ofisi tu za mabasi-Ofisi zimekuwa kama taka taka utadhani hakuna Serikali.

Ukija Dodoma Kimbinyiko,Shabibihi,Satco,BM,Machame, na mengine mengi kila basi inaofisi na parking zake ya nini huku stendi zimejengwa na kuwekewa Ofisi.
 
Siyo kushauri!! Hiyo ipo ktk mikakati ya kupanua miji. Hatutaki mjini kujaa takataka, tukisogeza huduma za stendi pembezoni na makazi yatahamia huko pia.
Afisa Mipango miji uchwara rudisheni open spaces mlizouza na malizeni kesi chungu nzima za viwanja vilivyouzwa mara saba saba kila kona, mambo ya usafiri wa mabasi waachie wasafiri na wasafirishaji, ushindani ulioko kwenye hii sekta kwa sasa unatosha kabisa kuifanya ijiratibu yenyewe kwa ufanisi mkubwa zaidi, msitie mikono yenu michafu humu kuleta vurugu na mateso kwa abiria tena.
 
Siyo kushauri!! Hiyo ipo ktk mikakati ya kupanua miji. Hatutaki mjini kujaa takataka, tukisogeza huduma za stendi pembezoni na makazi yatahamia huko pia.
Nyie ndio mmewaponza Magufuli stendi.
 
Stendi yoyote inaweza kuwa final destination ya abiria wa eneo husika
Ndio maana nikakuambia kama lengo ni hilo basi zile njia za kutokea kwenda mkoani(nje ya Dsm) kama vile Bagamoyo road na ile njia ya kusaini kule Mbagala kujengwe stendi ambapo kutakuwa na mabasi yatakayoanzia huko.

Na sio utoe mawazo ya kikatili kama hayo.
Kwa sasa bajeti ni ndogo ya kujenga basi utaratibu uendelee huu uliopo.
Simple
Tulichojitahidi ni kuhakikisha maeneo hayo yana ruti za daladala zinazokufikisha mbezi ukapande bus
 
Stendi yoyote inaweza kuwa final destination ya abiria wa eneo husika
Ndio maana nikakuambia kama lengo ni hilo basi zile njia za kutokea kwenda mkoani(nje ya Dsm) kama vile Bagamoyo road na ile njia ya kusaini kule Mbagala kujengwe stendi ambapo kutakuwa na mabasi yatakayoanzia huko.

Na sio utoe mawazo ya kikatili kama hayo.
Kwa sasa bajeti ni ndogo ya kujenga basi utaratibu uendelee huu uliopo.
Simple
Mbona una Airport moja na watu wanakwenda na kuondokea huko.mtu yoyote anayejua ana safari lazima ajiandae na safari hiyo huwezi kuwa na nchi kila mahala mabasi yanapaki hovyo hovyo.mabasi yote yalitakiwa yaishie stendi kuu-watu watafute means za kufika huko stendi.
 
Ndyo yapo. Ila dar tunataka kuwe na final destination siyo kutenga wilaya to wilaya, ndo utofauti wa Dar na majiji mengine
Final destination ya nyoko, Tulishahama enzi za ujamaa na villagization.
 
Yani miafrika ni matahira yawe yamesoma au hayajasoma,yani una nchi kila bus lina Ofisi yake linashusha wanapotaka wao halafu kuna majitu yanaona ni sawa eti kisa tu sijui wengine wanaishi Bunju mara Mbagala.

Hivi huu uzezeta utakwisha lini jamani,kuna maana gani ya kujenga hizi stendi za mabasi sasa?? Ukienda pale manzese hadi magomemi ni Ofisi tu za mabasi-Ofisi zimekuwa kama taka taka utadhani hakuna Serikali.

Ukija Dodoma Kimbinyiko,Shabibihi,Satco,BM,Machame, na mengine mengi kila basi inaofisi na parking zake ya nini huku stendi zimejengwa na kuwekewa Ofisi.
Waliokosea ni wale waliopeleka stendi ya mabasi Mbezi kabla ya kupima hasara na faida.
 
Yani miafrika ni matahira yawe yamesoma au hayajasoma,yani una nchi kila bus lina Ofisi yake linashusha wanapotaka wao halafu kuna majitu yanaona ni sawa eti kisa tu sijui wengine wanaishi Bunju mara Mbagala.

Hivi huu uzezeta utakwisha lini jamani,kuna maana gani ya kujenga hizi stendi za mabasi sasa?? Ukienda pale manzese hadi magomemi ni Ofisi tu za mabasi-Ofisi zimekuwa kama taka taka utadhani hakuna Serikali.

Ukija Dodoma Kimbinyiko,Shabibihi,Satco,BM,Machame, na mengine mengi kila basi inaofisi na parking zake ya nini huku stendi zimejengwa na kuwekewa Ofisi.

Kila nchi inautaratibu wake wa kurahisisha maisha ya watu wake.
 
Mbona una Airport moja na watu wanakwenda na kuondokea huko.mtu yoyote anayejua ana safari lazima ajiandae na safari hiyo huwezi kuwa na nchi kila mahala mabasi yanapaki hovyo hovyo.mabasi yote yalitakiwa yaishie stendi kuu-watu watafute means za kufika huko stendi.
Tofautisha stendi na ofisi za mabasi. Kibiashara wamiliki wa mabasi wapo sawa. Kwa Sasa hata hotelini sio lazima uende unaweza kuagiza delivery wakakuletea. Tuondoke kwenye ujima tafadhali.
 
Mbona una Airport moja na watu wanakwenda na kuondokea huko.mtu yoyote anayejua ana safari lazima ajiandae na safari hiyo huwezi kuwa na nchi kila mahala mabasi yanapaki hovyo hovyo.mabasi yote yalitakiwa yaishie stendi kuu-watu watafute means za kufika huko stendi.
Sio sahihi kufananisha Airport ya Dar na stendi ya mabasi. Kwanza abiria wangapi Wana panda ndege Kwa siku Kwa safari za ndani za ndege kulinganisha na abiria wa basi?
 
Back
Top Bottom