Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Tulichojitahidi ni kuhakikisha maeneo hayo yana ruti za daladala zinazokufikisha mbezi ukapande bus
Hahaaa!! Tanzania ni nchi ya umoja bana, wote tushukie sehem moja then tukaribishane majumbani tuelekeako.Final destination ya nyoko, Tulishahama enzi za ujamaa na villagization.
Wewe nawe una shida. Stendi zisiwe tatu ila mabasi yake mengi. Wingi wa mabasi ndio uanapelekea ujenzi wa stendi.Stend 3 hazistahili ndiyo ila bus kuwa nyingi ndo sahihi ili kuweza kumudu wingi wa abiria.
Hakuna watendaji wa serikalini wabovu kama wa Dar es salaamUmbali kutoka Stendi ya Moshi vijijini(Himo) to Moshi ni 35 Km
Umbali kutoka Bunju wilaya ya Kinondoni to Wilaya ya ubungo Mbezi luis stendi ni 33km.
Kutoka Mbagala kongowe wilaya ya temeke to Mbezi luis wilaya ya ubungo ni 35km
Kutoka Moshi mjini to Hai(boma ng'ombe stendi) 50km
Kuna magari yanaanzia wilayani pasipo kupitia makao makuu ya mkoa na moja kwa moja yanaenda mikoa au wilaya zingine.
BAsi tufanye bus ziruhusiwe kusogeza abiria zikifika stendi muda ambao siyo rafiki hasa ambapo daladala na mwendokasi wamestop. Hii walau utasikilizikaDaladala ni usafiri binafsi labda ungesema mwendokasi ambazo kidogo zinamilikiwa na serikali lakini kwa bahati mbaya mwendokasi kuanzia saa tano au sita usiku hazitoi huduma.
Hao wamiliki wa Daladala asilimia 95 ikfika usiku kuanzia saa sita wanalaza magari yao. Na huwezi walazimisha kutoa huduma usiku.
Hivyo abiria anayeingia usiku kutokea labda mwanza, kigoma, Bukoba, na mara lazima apate chamoto akifika usiku. Kuanzia nauli kuwa juu kama atakodo Bodaboda, tex au bajaji.
Sasa kama Basi Limerahisisha usumbufu huo kwa abiria wake kwa nini iwe Nongwa?
Mbona una Airport moja na watu wanakwenda na kuondokea huko.mtu yoyote anayejua ana safari lazima ajiandae na safari hiyo huwezi kuwa na nchi kila mahala mabasi yanapaki hovyo hovyo.mabasi yote yalitakiwa yaishie stendi kuu-watu watafute means za kufika huko stendi.
Hakuna watendaji wa serikalini wabovu kama wa Dar es salaam
Tamisemi tuleteeninDar watendaji wa mikoani achaneni na Hawa zero brain wa Dar es salaam ndugu zenu ,marafiki nk Wenye akili mliowasokomeza mikoani huko
Watendaji wote waliopo washugulikiq mambo ya usafiri wengine wote waondoke wabakie wa LATRA tu wengine hata kama sio LATRA waendekezahuo ujinga wawe wanasiasa NK Mamlaka za uteuzi au waliowaleta waeafungashe virago
LATRA tu asiondoke Mfanyakazi hata mmoja wako vizuri
Usafi ni Jambo tafauti na stendi. Usafi wa mazingira unaweza kuwepo hata Kama Kuna stendi Tano ndani ya Jiji la Dar.Mnataka kuharibu usafi wa jiji kwa kujaziwa vituo vya bus.
BAsi tufanye bus ziruhusiwe kusogeza abiria zikifika stendi muda ambao siyo rafiki hasa ambapo daladala na mwendokasi wamestop. Hii walau utasikilizika
Sasa hv hata bus ikifika jioni mnataka iwafikishe shekilangoKwani sasa zinafanyaje?
Basi sio Daladala hiyo elewa. Linaenda na muda.
Kupakiza abiria wanatoa muongozo kuwa abiria wote wasubiri kituo fulani watakutwa hapo. Sio kwamba kila kituo anashushwa mtu. Vinginevyo yangekuwa yanachelewa huko yaendako
KweliNi uvivu tu wa kufikiri wa wanasiasa, hasa kwa sababu wao sio watumiaji wa hizi stendi.
Ondoa ujuha wako hapa, London ambayo ni ndogo kuliko Dar es Salaam ina vituo vikubwa zaidi ya 10 vya kupakia mabasi ya kwenda nje ya London. Vituo vya magari ya daladala yanayohudumia London ni zaidi ya 19,000 na hata magari yanayotoka nje ya London yanaweza kuvitumia vingi vya hivyo vituo kushusha abiria. Kushindwa kwenu kupanga miji kulikopeleka ujenzi holela ndio inakufanya uone Dar vituo vya gari ni vingi sana wakati ukweli ni kwamba ni vichache sana ukilinganisha na miji mingi inayokaribiana nayo kwa ukubwa.Yani miafrika ni matahira yawe yamesoma au hayajasoma,yani una nchi kila bus lina Ofisi yake linashusha wanapotaka wao halafu kuna majitu yanaona ni sawa eti kisa tu sijui wengine wanaishi Bunju mara Mbagala.
Hivi huu uzezeta utakwisha lini jamani,kuna maana gani ya kujenga hizi stendi za mabasi sasa?? Ukienda pale manzese hadi magomemi ni Ofisi tu za mabasi-Ofisi zimekuwa kama taka taka utadhani hakuna Serikali.
Ukija Dodoma Kimbinyiko,Shabibihi,Satco,BM,Machame, na mengine mengi kila basi inaofisi na parking zake ya nini huku stendi zimejengwa na kuwekewa Ofisi.
Kazi ya stend ni nini? Ukijua hili jibu utajua sababu.kurasa zote nimesoma sijaona aliyeongelea sababu za mabasi kukwepa stendi ya mkoa
Kwanini tunajenga stendi?Yani miafrika ni matahira yawe yamesoma au hayajasoma,yani una nchi kila bus lina Ofisi yake linashusha wanapotaka wao halafu kuna majitu yanaona ni sawa eti kisa tu sijui wengine wanaishi Bunju mara Mbagala.
Hivi huu uzezeta utakwisha lini jamani,kuna maana gani ya kujenga hizi stendi za mabasi sasa?? Ukienda pale manzese hadi magomemi ni Ofisi tu za mabasi-Ofisi zimekuwa kama taka taka utadhani hakuna Serikali.
Ukija Dodoma Kimbinyiko,Shabibihi,Satco,BM,Machame, na mengine mengi kila basi inaofisi na parking zake ya nini huku stendi zimejengwa na kuwekewa Ofisi.
Ndo maana nikakwambia unaturudisha enzi za ujima.Hahaaa!! Tanzania ni nchi ya umoja bana, wote tushukie sehem moja then tukaribishane majumbani tuelekeako.
We kalia wala Mirungi wenzako US anawahara sio wewe Red Sea mpaa Mediterranean hakuna meli inapita kwenda Israel
Kituo kinahitaji mapato ya abiria wanaoingia....ukiweka mbali stendi zile pesa zinaingiaje? Huoni wanahujumu mapato ya serikali?Aiseeh! Uchumi unahujumiwaje Kwa abiria kusogezwa karibu na basi?
Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??Kwa gharama ipi? Wewe huoni unafuu anaopata abiria kuepuka gharama ya kusafirisha mizigo hadi stand?