Wakati stendi iko ubungo mabasi yalikuwa yanapakia na kushusha vituo vingi tu vya njiani.Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??
Mbona mabasi yalikuwa yakishusha na kupakia hapo stendi?
Embu fikiri na wewe, assume wewe ndo kiongozi unatakiwa utatue hili, unadhani kwanini ni rahisi kwenda ubungo kuliko stand ya JPM?Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??
Mbona mabasi yalikuwa yakishusha na kupakia hapo stendi?
Sasa hv hata bus ikifika jioni mnataka iwafikishe shekilango
Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??
Mbona mabasi yalikuwa yakishusha na kupakia hapo stendi?
Kwa ukubwa wa Dar na watu walivyowengi atatuma gari upande upo na ipi? Tunatakiwa tufikirie namna ya kupata wateja. Tusisubirie wateja wa kuletewa Kwa lazima.Tanga kuna utaratibu mzuri sana...Wamiliki wa mabasi wanakaa stand kubwa alafu wana magari yao Madogo Coster unapandia town inakupeleka stand kuu...
Bro hata ipige ving'ora kama ulikopa ukanunua daladala au kukodisha gest Magufuli tafuta namna. Haturudi Enzi za ujima. Tumechoka kuburuzwa na akili za wafanya biashara. Tafuteni namna Bora ya kufanya biashara zenu. Hata Nokia tochi hawakuamini Kuna siku watu watahamia kwenye simu janja. Msipogeuka mtakua mnara wa chumvi!Pikipiki zina vituo vyake vilivyosajiliwa ndiyo. Na namna ya bus huwa ni stendi ya bus mengineyo ni kumsaidia abiria tu lakini kituo cha bus huwa ni stendi na si ofsini kwao. Bus ni mhimu kushusha abiria stendi ili hiace nazo zile vichwa, tudigeuze bus kufanya kazi za daladala
Yani kila kitu mnataka mfaidike? Kuna vitu vinaitwa public goods. They are provided by the government sometimes without profit. It is imperative that you people understand we did not take loans in the name of "wafanyabiashara" to built the bus terminal. It was my tax as well as your that did that, so why are forcing us to became a cash cow for your petty bussiness?Kituo kinahitaji mapato ya abiria wanaoingia....ukiweka mbali stendi zile pesa zinaingiaje? Huoni wanahujumu mapato ya serikali?
Ningeshangaa zaidi usinge mquote kwa sababu Erythrocyte kaitaja ccmUsingeitaja ccm nngeshangaa sana
Mwanangu sana huyo 😂Ningeshangaa zaidi usinge mquote kwa sababu Erythrocyte kaitaja ccm
HahahaWe kalia wala Mirungi wenzako US anawahara sio wewe Red Sea mpaa Mediterranean hakuna meli inapita kwenda Israel
View: https://youtu.be/i3D_Bv_F2S8?si=dWn5paBDnzsoDcak
View: https://youtu.be/Bdzs-BLKp1Q?si=2FHDINnbfPuQyZua
Wewe ni Muhujumu uchumiYani kila kitu mnataka mfaidike? Kuna vitu vinaitwa public goods. They are provided by the government sometimes without profit. It is imperative that you people understand we did not take loans in the name of "wafanyabiashara" to built the bus terminal. It was my tax as well as your that did that, so why are forcing us to became a cash cow for your petty bussiness?
Think harder on how to survive but my welfare shouldn't pay for your luxuries.
Ujue kuna watu nchi hii jamii ya mleta mada ni wapumbavu sanaHao SGR watafika tuu huko wakiongeza route atleast iwe nchi nzima wataanzisha magari ya kuwafuata abiria kuwaleta kituo cha treni.
Sasa mtu yupo Kigamboni kimbiji huko aje alale Guest ili awahi gari mbezi?
SawasawAMimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Kweli..Bro tafuta location nyingine ya biashara. mtu anatokea Tanga/Arusha/Moshi amepita bagamoyo aje ashukie Magufuli?
Acha kukariri stand yaweza kuwa mahala popote abiria wanapopatikana na kuyafikia mabasi kirahisi.
Kama ni mida ya wanga basi abiria waende tu popote panapohitajika.Unaomba. Na mara nyingi hawaruhusu kushuka njiani
Au muulize kama amewahi kumuona mpiga debe anagombania abiria wa ndegeUmewahi kumuona mtu anashuka kwenye ndege halafu anaenda kugombania daladala? Umewahi kumuona mtu kwenye ndege anagombana na kondakta kisa buku?
Hakuna bus linalokwepa hapokurasa zote nimesoma sijaona aliyeongelea sababu za mabasi kukwepa stendi ya mkoa
Yaani kuna watu ni matacall kweli mkuuKwani hapo mbezi hakuna watu wanaoishi hapo?
Hao ndio watapanda na kushuka hapo stendi kuu.
Au hakuna watu wanaosafiri wanaoishi Mbezi ?
Yaani basi la lindi limpitishe abiria nyumbani kwake Vikindu, na likamshushe Mbezi ilimradi tu anunue maji na tishu
Halafu aanze kutafuta usafiri mwingine wa kurudi Vikindu.
Kama hapo mbezi hakuna abiria wanaoishi hapo, basi aliyejenga hiyo stendi alikuwa mwehu.