Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??

Mbona mabasi yalikuwa yakishusha na kupakia hapo stendi?
Wakati stendi iko ubungo mabasi yalikuwa yanapakia na kushusha vituo vingi tu vya njiani.
 
Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??

Mbona mabasi yalikuwa yakishusha na kupakia hapo stendi?
Embu fikiri na wewe, assume wewe ndo kiongozi unatakiwa utatue hili, unadhani kwanini ni rahisi kwenda ubungo kuliko stand ya JPM?
 
Mbona wakati stendi ipo ubungo mlikuwa mkienda na mizigo yenu!? Mbona ilivyokuwa kisutu na kisha mnazi mmoja mlikuwa mkienda stendi na mizigo yenu??

Mbona mabasi yalikuwa yakishusha na kupakia hapo stendi?

Wakati ipo kisutu na Ubungo uliwahi kuona abiria wa Mbezi wanakuja Ubungo au kisutu?
Walikuwa wanasimama njiani mabasi yanawakitia njiani.

Yaani mtu atoke kibamba aje Ubungo kupanda Basi linaloenda njia ya Arusha kupitia Chalinze au Morogoro huyo atakuwa hayupo timamu.
 
Tanga kuna utaratibu mzuri sana...Wamiliki wa mabasi wanakaa stand kubwa alafu wana magari yao Madogo Coster unapandia town inakupeleka stand kuu...
Kwa ukubwa wa Dar na watu walivyowengi atatuma gari upande upo na ipi? Tunatakiwa tufikirie namna ya kupata wateja. Tusisubirie wateja wa kuletewa Kwa lazima.
 
Pikipiki zina vituo vyake vilivyosajiliwa ndiyo. Na namna ya bus huwa ni stendi ya bus mengineyo ni kumsaidia abiria tu lakini kituo cha bus huwa ni stendi na si ofsini kwao. Bus ni mhimu kushusha abiria stendi ili hiace nazo zile vichwa, tudigeuze bus kufanya kazi za daladala
Bro hata ipige ving'ora kama ulikopa ukanunua daladala au kukodisha gest Magufuli tafuta namna. Haturudi Enzi za ujima. Tumechoka kuburuzwa na akili za wafanya biashara. Tafuteni namna Bora ya kufanya biashara zenu. Hata Nokia tochi hawakuamini Kuna siku watu watahamia kwenye simu janja. Msipogeuka mtakua mnara wa chumvi!
 
Kituo kinahitaji mapato ya abiria wanaoingia....ukiweka mbali stendi zile pesa zinaingiaje? Huoni wanahujumu mapato ya serikali?
Yani kila kitu mnataka mfaidike? Kuna vitu vinaitwa public goods. They are provided by the government sometimes without profit. It is imperative that you people understand we did not take loans in the name of "wafanyabiashara" to built the bus terminal. It was my tax as well as your that did that, so why are forcing us to became a cash cow for your petty bussiness?
Think harder on how to survive but my welfare shouldn't pay for your luxuries.
 
W

Wewe ni Muhujumu uchumi
 
Hao SGR watafika tuu huko wakiongeza route atleast iwe nchi nzima wataanzisha magari ya kuwafuata abiria kuwaleta kituo cha treni.

Sasa mtu yupo Kigamboni kimbiji huko aje alale Guest ili awahi gari mbezi?
Ujue kuna watu nchi hii jamii ya mleta mada ni wapumbavu sana
Halafu hayo mabasi yanaingia hapo stand halafu ndio yanaelekea huko zilipo ofisi zake
Sasa sijui kinachowawasha nini
 
Bro tafuta location nyingine ya biashara. mtu anatokea Tanga/Arusha/Moshi amepita bagamoyo aje ashukie Magufuli?

Acha kukariri stand yaweza kuwa mahala popote abiria wanapopatikana na kuyafikia mabasi kirahisi.
Kweli..
 
waliingia gharama na kujaribu kuhamisha stand toka rangi tatu kuipeleka kijichi huku viongozi wa juu kabisa wakishinikiza lakini wapi nguvu ya wamiliki na madereva ikawashinda stand ikarudi mbagala.Tatizo kubwa la nchi hii ni usimamizi haupo kabisa.
 
Umewahi kumuona mtu anashuka kwenye ndege halafu anaenda kugombania daladala? Umewahi kumuona mtu kwenye ndege anagombana na kondakta kisa buku?
Au muulize kama amewahi kumuona mpiga debe anagombania abiria wa ndege
Yaani ashawahi kuona sarange wa air Tanzania na precision air wakishikana mashati
 
kurasa zote nimesoma sijaona aliyeongelea sababu za mabasi kukwepa stendi ya mkoa
Hakuna bus linalokwepa hapo
Mabasi yote huingia humo stand kushusha halafu ndio yanaelekea ofisini kwao
Sasa hawa wamachinga wanalazimisha abiria wote washukie hapo hata kama mtu anaendelea mbele ambako basi linapita
 
Kwani hapo mbezi hakuna watu wanaoishi hapo?
Hao ndio watapanda na kushuka hapo stendi kuu.
Au hakuna watu wanaosafiri wanaoishi Mbezi ?
Yaani basi la lindi limpitishe abiria nyumbani kwake Vikindu, na likamshushe Mbezi ilimradi tu anunue maji na tishu
Halafu aanze kutafuta usafiri mwingine wa kurudi Vikindu.

Kama hapo mbezi hakuna abiria wanaoishi hapo, basi aliyejenga hiyo stendi alikuwa mwehu.
Yaani kuna watu ni matacall kweli mkuu
Hua unajiuliza wanatumia kiungo gani kufikiri
 
Back
Top Bottom