Huo mfano wako wa ndege mbona una ukakasi sana.Mbona ndege huwa hamuombi mshushwe kwenu mnakubali kwenda airport? Utaratibu wa vituo ni muhimu sana, mkifanya shaghala baghala msilalamikie mfumo na utaratibu wa serikali.
Sasa Stand ya bus ya nini kama unaweza panda na kushuka popote?
Bus haliwezi mfata mtu kila atakapokuwepo na sio bus tu hata daladala, hiyo sio uber au bolt ndugu yangu.Mimi na-support mabus kufuata abiria walipo na sio abiria kufuata mabus yalipo.
Kiukweli ndo chanzo cha matatizo mengi ya nchi hii,Usingeitaja ccm nngeshangaa sana
Hakuna haja ya wadau kuingia Stendi wao washushie popote na kupandishia abiria popote ikibidi wawe wanashushia abiria majumbani kabisaaπ.Mimi naona wamechelewa sana yaan muda wote huo walikuwa wanashushia Magufuli Stendi kweli mbali hivyo alaa jaman!Hao wafanyabiashara wanaomsifia na hapohapo kumlilia mama na kumpigia kampeni wahame waende huko mabasi yanaposhushia kwani wamekatazwa.Wafanyabiashara uchwara hao wanaolialia huku wanamsifia mkuu wa mkoa wajue hata huko mabasi yanakoshushia na kupandishia abiria kuna wafanyabiashara na wao wanataka kufanya biashara.Tusipangiane watu wazima kulialia kupiga magoti inatia hasira,hameni au ondokeni hapo au vaeni magwanda ya kijani muanze kampeni kabisaa maana tunaona mnafanya kampeni mixer kulialia.
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abiria wanaingia hiyo Stendi wakiwa wameshiba ama wamechoka, unataka wanunue nini saa 10 alfajiri? wakinunua mavyakula hovyo watachimba dawa njia nzima
Wakifika jioni wamechoka na kwao ni hapo kimara tu sasa wananunua nini hapo stendi ambacho nyumbani kwao hakipo? Wauzaji wenyewe afya zao ni mashaka matupu, unanunua ili ukaharishe?
Umeongea ugoro tu
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Huyo Hassan ana ubavu wa kufunga ofisi za shabbiby au abood pale Ubungo?Hassan Bomboko, Dc wa wilaya ya Ubungo aache kuhangaika na machangudoa wa Riverside na Sinza badala yake ajikite hili suala linalotokea katika kata yake ya Mbezi na ubungo.
Aamke alfajiri akafunge ofisi za haya Mabadi pale urafiki na shekilango ayaamuru yakapakie mbezi, magufuli bus terminal
Bro kama hujawapi Panda daladala huwezi nielewa. Ukipanda ndege ya 250,000 huwezi linganishwa na mpanda gari wa 30,000 ambae hata njiani hajala kitu. Tofautisha hao watu wawili bro. Halafu kwenye ndege Kuna limit ya mizigo na bado wa shuttle za kupeleka watu cetre tofauti tofauti. Acheni kuwatesa masikini mkiwa kwenye V8 tulizowanunulia. Msitufungulie sisi biashara. Jifungulieni wenyewe lakini msitulazimishe tuvae vitenge maana una roboti lako la vitenge bandarini.1. Kwani mtu anayeshuka uwanja wa ndege na anakaa Kunduchi huwa anafikaje nyumbani...?
2.Kwanini gari ziende Shekilango au Mnazi mmoja .....?
Mkuu magari hayajagoma, usitukane watu, kiuhalisia modality ya uendeshaji wa biashara hiyo kwa utaratibu huo inagoma.Usitumie matako kufikiria...hakuna aliyesema kuwa abiria wa njiani asishushwe kabla ya basi kufika Magufuli bus terminal....kinachogusiwa hapa ni magari kugoma kupakia abiria hapo Magufuli
Ndo maana ndege Kuna shuttle za kupeleka watu. Acheni kutakua kutesa masikini atoke mbagala saa nane ili awahi Magufuli saa kumi na Moja. Ukiwa hujawahi teseka wala hutamuonea huruma mwenzako.Miundombinu ya usafiri mkubwa na uchukuzi(Uwanja wa ndege, stendi za Mabasi,Bandari kavu)huwa inatakiwa iwe nje kidogo ya mji....ili
- kuondoa msongamano wa magari barabarani...
- Kupunguza uharibifu wa barabara za ndani ya mji
Waambieni sisi Tunahitaji kusafiri hivyo wanavyoviuza hata mtaani tunakoishi vipo. Wakati wa kusafiri Sio Wakati wa shopping.
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Mikate na Biscuit na Juice za AzamAbiria wanaingia hiyo Stendi wakiwa wameshiba ama wamechoka, unataka wanunue nini saa 10 alfajiri? wakinunua mavyakula hovyo watachimba dawa njia nzima
Wakifika jioni wamechoka na kwao ni hapo kimara tu sasa wananunua nini hapo stendi ambacho nyumbani kwao hakipo? Wauzaji wenyewe afya zao ni mashaka matupu, unanunua ili ukaharishe?
Waambieni sisi Tunahitaji kusafiri hivyo wanavyoviuza hata mtaani tunakoishi vipo. Wakati wa kusafiri Sio Wakati wa shopping
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa ma bus angeivimbia serikali namna hiii??.
Alafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa masilahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayoitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
aliyekupa kibali cha kuwasemea Watu wa mbagala kuwa ni masikini ni nani? Takwimu kuwa mbahala kuna masikini ziko wapiNdo maana ndege Kuna shuttle za kupeleka watu. Acheni kutakua kutesa masikini atoke mbagala saa nane ili awahi Magufuli saa kumi na Moja. Ukiwa hujawahi teseka wala hutamuonea huruma mwenzako.
Empathy Kwa masikini ni kitu ambacho tajiri au kiongozi wa serikali hawezi kuwa nacho kabisa. Aliyeshiba hajui karaha ya njaa.
Kwenye mji wenye watu milioni sita ni akili watu wafuate gari sehemu Moja? Hivi hata akili za kuzaliwa kwani tulinyimwa?Bus haliwezi mfata mtu kila atakapokuwepo na sio bus tu hata daladala, hiyo sio uber au bolt ndugu yangu.
Ndio maana ikawepo center point ambayo ni stendi. Haikujengwa ili iachwe ikae hapo bila matumizi na isitoshe ni chanzo cha mapato kwa nchi na jamii pia.
Sio Kwa context hiyo ila fikiria umetoka Mbagala unafuata gari Magufuli Kwa sababu watu na viduka vyao havipati wateja. Au mtu atoke Tegeta Kuja Magufuli halafu gari lipite pale pale Tegeta likiwa linatoka. Ni umbuzi tu ndo unaweza kufanya mtu afikirie hivyo.Waambieni sisi Tunahitaji kusafiri hivyo wanavyoviuza hata mtaani tunakoishi vipo. Wakati wa kusafiri Sio Wakati wa shopping
aliyekupa kibali cha kuwasemea Watu wa mbagala kuwa ni masikini ni nani? Takwimu kuwa mbahala kuna masikini ziko wapi
Miji inakua lazima kuwe na transit route enyi wenye vichwa vigumu. Mbona mtu akiwa anasafiri kwa ndege anatoka kibaha kuwahi ndege ya saa nane usiku na halalamiki? Acheni uvivu wa kulala. Kuna ajabu gani hapo la kuamka mapema mbona bar mnakesha ποΈποΈποΈποΈSio Kwa context hiyo ila fikiria umetoka Mbagala unafuata gari Magufuli Kwa sababu watu na viduka vyao havipati wateja. Au mtu atoke Tegeta Kuja Magufuli halafu gari lipite pale pale Tegeta likiwa linatoka. Ni umbuzi tu ndo unaweza kufanya mtu afikirie hivyo.
Ni mazoea tu..kwani usafiri wa ndege inakuwaje??Watu wanakaa Kiluvya ..wanawahi ndege hapo JNIA...wanajiandaa mapema.Bro naomba nitofautiane nawe kidogo. Jifikirie wewe ni abiria unaishi Upanga. Huna gari unategemea mwendokasi au daladala. Gari inaofisi tuseme Kigogo au Mnazi mmoja. Inakuja inakuacha Magufuli halafu wewe utafute usafiri kwenda Upanga.
Hapo hapo yenyewe inaenda tupu mpaka Mnazi mmoja. Ukitoka hapo stendi na mabegi yako mara uburute, ukabwe na kudondoka. Huu ni ukiritimba mkubwa mno. Au uneshafika level za kutembelea V8 linalowekwa mafuta na wananchi? Eti Daktari maana duh!
Uvivu wa kufikiri ingelipendeza zaidi badala ya uvivu wa kulalaMiji inakua lazima kuwe na transit route enyi wenye vichwa vigumu. Mbona mtu akiwa anasafiri kwa ndege anatoka kibaha kuwahi ndege ya saa nane usiku na halalamiki? Acheni uvivu wa kulala. Kuna ajabu gani hapo la kuamka mapema mbona bar mnakesha ποΈποΈποΈποΈ
Hata mie nashangaa. Tulisemaga inawezekana Tanzania tukawa channel ya vituko mbinguni kuna watu wanatubishia. Ujinga ni kipajiSiku zote biashara haitakiwi kutegemea Stendi, bali stendi ndio inapaswa kutegemea biashara yako, shida ni hawa wafanyabiashara walidanganywa na ccm
Nimepita hapo stendi zaidi ya mara 50 lakini sikuwahi kununua chochote, hii ni kwa sababu si lazima abiria kununua kitu hapo stendi, sasa wanacholilia ni nini?