greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Viwanja vya ndege vyote hapa nchini na nje ya nchi huwa vinatakiwa kujengwa nje ya mji....Mbona Treni ipo katikati ya mji?. Na hata uwanja wa ndege upo katikati ya mji ila stendi ya mabasi wamepeleka mafichoni.
Sema kwa Mkoa wetu huu,Mipango miji huwa wanaruhusu ujenzi holela na watu kufanya ujenzi kwenye maeneo yaliyotengwa kwa maviwanda makubwa na miundombinu kama hiyo..mm