Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

Sahihi, ila kwenye mafanikio yeyote lazima utoe sacrifice/kafara yanamna yeyote...
Hata yesu alitoa damu yake kwania yakukomboa dunia
Unamaanisha nini unaposema yesu aliikomboa dunia?
 
Unamaanisha nini unaposema yesu aliikomboa dunia?
Una Imani gani na Yesu km huna Imani nae hata usimuliwe nini kuhusu yeye utaishia kusema alikua muisrael tu hana tofauti na Benjamin Netanyahu
 
Biashara na tunguli hapa na hapa au sio?
 
Nabii issa alipopandishwa mlimani na shetani, aliahidiwa utajiri wote wa dunia kama atamsujudia, kitendo hicho kinaonyesha utajiri ni mali ya shetani. Nawaunga mkono matajiri kwa kuwa wameelewa somo. Hata kama anaenda kwenye nyumba za ibada ila ana imani yake pembeni.
 
ila siyo matajiri wte wameupata utajiri kupitia huko
 
Shetani alimwambia Yesu kuwa utajiri wa dunia ni wake, huo utajiri halali umetoka wapi? Ujue Yesu alikubali kuwa utajiri ni wa shetani na akakataa kumsujudu. Aliyesema sio matajiri wate, hao halali wanatoa wapi? Au kuna shetani mtakatifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…