Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

Hakuna kisicho cha kweli kwenye uzi huu.

Kwa tafiti zisizo rasmi nilizofanya, nimebaini karibu 90+ ya waTanzania wote bila kujali ni mshika dini za kigeni au laa, wanajihusisha na mambo ya kishirikina.

Unaweza muona mtu anajifanya mfuasi mzuri wa mambo mema yahusuyo dini za kigeni lakini ndani ana misukule yake imetulia au ana watalaam wake anaowapa nafasi ya kwanza.
Biashara na tunguli hapa na hapa au sio?
 
Nabii issa alipopandishwa mlimani na shetani, aliahidiwa utajiri wote wa dunia kama atamsujudia, kitendo hicho kinaonyesha utajiri ni mali ya shetani. Nawaunga mkono matajiri kwa kuwa wameelewa somo. Hata kama anaenda kwenye nyumba za ibada ila ana imani yake pembeni.
 
ila siyo matajiri wte wameupata utajiri kupitia huko
 
Shetani alimwambia Yesu kuwa utajiri wa dunia ni wake, huo utajiri halali umetoka wapi? Ujue Yesu alikubali kuwa utajiri ni wa shetani na akakataa kumsujudu. Aliyesema sio matajiri wate, hao halali wanatoa wapi? Au kuna shetani mtakatifu?
 
Back
Top Bottom