Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Unamaanisha nini unaposema yesu aliikomboa dunia?Sahihi, ila kwenye mafanikio yeyote lazima utoe sacrifice/kafara yanamna yeyote...
Hata yesu alitoa damu yake kwania yakukomboa dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini unaposema yesu aliikomboa dunia?Sahihi, ila kwenye mafanikio yeyote lazima utoe sacrifice/kafara yanamna yeyote...
Hata yesu alitoa damu yake kwania yakukomboa dunia
Wakinga tumepata Mke huko wakinga mpo shemeji yenu nipo hapa njooni mnipatie mikono, We Tuse mboni unapita bila kunipa mukono?wajinga
Una Imani gani na Yesu km huna Imani nae hata usimuliwe nini kuhusu yeye utaishia kusema alikua muisrael tu hana tofauti na Benjamin NetanyahuUnamaanisha nini unaposema yesu aliikomboa dunia?
Biashara na tunguli hapa na hapa au sio?Hakuna kisicho cha kweli kwenye uzi huu.
Kwa tafiti zisizo rasmi nilizofanya, nimebaini karibu 90+ ya waTanzania wote bila kujali ni mshika dini za kigeni au laa, wanajihusisha na mambo ya kishirikina.
Unaweza muona mtu anajifanya mfuasi mzuri wa mambo mema yahusuyo dini za kigeni lakini ndani ana misukule yake imetulia au ana watalaam wake anaowapa nafasi ya kwanza.
ila siyo matajiri wte wameupata utajiri kupitia hukoNabii issa alipopandishwa mlimani na shetani, aliahidiwa utajiri wote wa dunia kama atamsujudia, kitendo hicho kinaonyesha utajiri ni mali ya shetani. Nawaunga mkono matajiri kwa kuwa wameelewa somo. Hata kama anaenda kwenye nyumba za ibada ila ana imani yake pembeni.