Wafanyabiashara wa Kariakoo jiandaeni kisaikolojia kutokana na kituo cha biashara kinachojengwa pale Ubungo

Hakuna hicho kitu unless umeijuq KKO kwa kuhadithiwa. Tena pale Ubungo, it is not even a strategic place. Hakuwezi kuwa na biashara pale . Ni suala la muda. Bora hata wangeenda kujenga Mbagala

Zunguka Tanzania nzima. Utajiri upo KKO na replacement yake haiwezi kuja kutokea

Kwanza hayo masehemu yatakuwa kama ni ya kishua fulan and that is the biggest failure . KKO hadi mchoma mahindi hakosi 20K’per day ukalinganishee na magofu ya ubungo

Ninahaiika ww ni mtu wa ofisin au unaishi nje ya mji
 
Kadhalika watapunguza safari za wageni nchini kwao
 
Hata wafanya biashara wanapenda bei za bidhaa ziwe nafuu kwa wananchi . Ila bei za bidhaa huwa zinapanda kwa sababu ya kodi za hovyo hovyo . Na wananchi wasichokijua kodi zikiwa juu , wanao umia ni wananchi wenyewe , bidhaa itapanda bei ili mfanyabiashara asipate hasara .
 
Acha uoga maendeleo hayakwepeki
 
Lilishaelezwa na inafahamika Kkoo inatakiwa kufa.
 
Huyo ni mshamba na muoga
 
Accept a new challenges
 
Acha uoga maendeleo hayakwepeki
Ni kweli maendeleo hayakwepeki ila watanzania na hasa watanganyika wanahitaji nafasi nyingi za ajira na hasa za viwandani kama sera ya ajira na sera ya viwanda za nchi yetu zinavyosema. Na kwa njia hiyo ndiyo nchi itakuwa inaelekea kwenye maendeleo ya kweli na tunayoyatamani siyo haya unayofikiria.
Soko la Kariakoo ni kubwa sana na linahudumia nchi nyingi jirani. Badala ya kuwa na Task Force ya kukusanya kodi kutoka kwa wachuuzi wa Kariakoo serikali yetu iione hiyo kama fursa au motisha wa kusimamia ujenzi wa viwanda nchini (hata kwa njia ya PPP) vya kuzalisha bidhaa hizo hizo kwa sababu soko lipo tena kubwa tu. Wachina wanatushangaa sana sisi! Sijui tukoje! Hata hii fursa kweli serikali yetu hawaioni! Basi kupitia posting za namna hii wajifunze na wachukue hatua badala ya kushabikia uanzishaji wa masoko kama hilo la Ubungo yatakayotengeneza fursa lukuki za ajira kwao China (na nchi zingine) badala ya hapa kwetu Tanzania.
 
Huoni ni fursa pia kwa wafanya biashara wa mikoani kuja kufunga mzigo ubungo?
 
Accept a new challenges
Nobody is refusing new challenges here. All what we are saying is that the market that Kariakoo business people serve is huge such that, based on this fact only, it is feasible to put up factories here in Tanzania for producing the same products instead of allowing the celebrated Ubungo market type that exports job opportunities that would otherwise have been available to our people here to China! We all need, as a country, to understand the economics involved here. Chinese are really amazed by our inaction despite the massive market that is ready to buy the industrial products from local factories and in turn generate job opportunities for our people here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…