Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

Wawalipe fidia za loss of income kwa miaka kadhaa ndio watu wanavyofanya na gharama fixtures and fittings za maduka yao; sio kupenda mambo rahisi.

Yaani unachukulia poa tu kisa jengo mali yako utadhani watu awakutafuta hizo hela za kuwekeza hapo.
 
Si walijifanya wajanja,dawa ya jeuri kiburi
 
Hameni mbuzi nyie
 
Wawalipe fidia za loss of income kwa miaka kadhaa ndio watu wanavyofanya na gharama fixtures and fittings za maduka yao; sio kupenda mambo rahisi.

Yaani unachukulia poa tu kisa jengo mali yako utadhani watu awakutafuta hizo hela za kuwekeza hapo.
Kwani mkataba hawakusoma!?..hawajui hicho kipengele Cha upangaji?!
 
Kwa hili naunga mkono Nyumba za NHC nyingi za kizamani halafu zipo maeneo strategic .
Waziboreshe tu mradi wafuate mkataba wao hususani suala la notisi.
Ila nao NHC wawahakikishie hao wafanyabiashara wapangaji wao kwamba watawapa wao upendeleo kuwapangisha pale mradi utakapokamilika
 
Wanalalamika nn?mbona wabongo tunakuwa waswahiliswahili sana.NHC wamenukuu kifungu walichotumia kuvunja mikataba na hao wafanyabiashara nao waje na kifungu kinachowafanya wang'ang'anie hapo.tuwe Makini tunapoingia mikataba mbalimbali ili tusichoshane.na hili nalo wanamtka Samia aingilie kati.samia atafanya mangapi?
 
Kwani mkataba hawakusoma!?..hawajui hicho kipengele Cha upangaji?!
Wakavunje Michenzani Zanzibar kuna majengo nayo yamechoka mbaya na yakizamani; na wapangaji ZHC wanamikataba kama hiyo.

Zanzibar inapokea watalii wengi sana wakijenga nyumba mpya za kisasa na gated community; awawezi kukosa wazungu wakuwapangisha kama holiday let mwaka mzima kwa hela nyingi sana za kigeni.

Point hapo ni kwamba hela ina mipaka uwezi ku disrupt maisha ya watu kisa eneo unadhani linathamani zaidi; na wala huna alternative ya kuwapeleka watu unaowatoa kwenda kwingine huo ni unyanyasaji.
 
Nyumba siyo suala la muungano..ya Tanganyika si ya Zanzibar
 
Kazi iendelee!😉
 
Kuna ndugu yangu hapo alipewa notisi inayoisha mwezi wa saba.

Ila yeye aliambiwa na mwenye nyumba kuwa kuna muhindi amekuja wameingua share anataka kujenga ghorofa, vyumba vya juu vitakuwa ni miliki ya mwenye nyumba halafu vya chini itakuwa ni mali ya muhindi kwasababu ataweka fremu za biashara.

Saizi kapata fremu nyingine

Lakini kwa ripoti hii ya watu zaidi ya 100 kuwa na situation inayofanana na ya ndugu yangu, naanza kuamini huwenda mwenye nyumba alimdanganya mpangaji wake.

Huwenda ishu yote ni hao hao NHC
 
Ndio nashangaa watu wamefata mkataba.
Ni vyema hao wafanyabiashara washauriwe kupigania kufikiriwa kupangishwa wao kwanza mara mradi utakapomalizika.
Hapo naweza kuwaelewa
 
Waje na pale manyanya kinondoni
Pale pako ovyo sana .....alafu sehemu
Ni strategic area

Ova
 
Msipende kuishi kwa mazoea
Acha watu waje waboreshe maeneo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…