Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Kenya produces all these things you listed ...we only import to subsidize shortfall.
 
Kama lini kenya ishawai iomba tz chakula??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya produces all these things you listed ...we only import to subsidize shortfall.
ni bidhaa gani muhimu tukiikosa kutoka kwenu maisha yatasimama[emoji28][emoji28].

yaani hapa ndio mtajua tanzania sio tu ni kubwa kwa eneo bali hata wananchi na viongozi wana akili kubwa,siku zote tumewaweka katika zone ambayo haina umuhimu.

mnajisifu mna viwanda vya blueband na kiwi za viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I have asked, which goods does Kenya export to Tanzania?, list them please ( Essential goods, not like Cigarettes, Chocolates, Panadol, Beer)

Sent using Jamii Forums mobile app
We export many essential products to Tanzania ( make Google your friend )not unless you want to mean you will start importing from Zambia,Uganda or DRC.which I doubt will happen since they are less industrialised thus don't produce some products.
 
Maisha hayata simama lakini Bei ya bidhaa kadhaa itapanda maana kutakuwa na shortfall .
 
Unless you mention at least 3 essential goods Kenya exports to Tanzania, which I am sure there is none.

Only manufactured goods from Kenya that are in good numbers are
1)Exide batteries
2)Flagyl % anti pains medicines
3)Kiwi
4)Colgate
5)Milk and its products

There is no single essential products from Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri kuexport kiwi na blue band ambazo ni manufactured goods kuliko kuexport raw goods kama mahindi na vitunguu...mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So according to you which one is better?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha mno namna majirani wanavyoishi, ilipaswa Kenya kumuheshimu jirani yake.
 
sisi tuna AZAM Milk kuna ASAS milk na wengine kibao hizo Exide batteries wengi tunatumia za kutoka German zinaitwa BOSCH the best batteries flagyl kuna kiwanda mwenge pale cha madawa kikubwa tu colgate tutatumia white dent which is much cheaper compared to colgate
 
Heri kuexport kiwi na blue band ambazo ni manufactured goods kuliko kuexport raw goods kama mahindi na vitunguu...mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama una akili usingewaza tanzania kuumia zaidi katika hili,au mwenye akili timamu hajui hili[emoji16][emoji16].

sisi tunawaangalia mlivyo weupe kichwani.
 
Maisha hayata simama lakini Bei ya bidhaa kadhaa itapanda maana kutakuwa na shortfall .
hivi kati ya dawa ya meno na unga,kipi kikipanda bei kina madhara na hakivumiliki??

angalia tena kwa mfano huo nani anaingiza bidhaa muhimu kwa mwenzie.
 
Wanamuomba Uhuru Kenyatta aende mpakani akajionee hali inavyokuwa mbaya. Ama kweli Tanzania inawalisha, ndio wakome sasa kukurupuka.

walie kwa sauti vizur tz tuwaskie basi volume haitoshi bado🤐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…