Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Mna nini cha kuchukiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna nini cha kuchukiwa?
Saizi mta process maweYou sell us maize, we process it, package it and then sell it at much higher price. Our markets include locals and international organizations, now tell me yupi yuko mjanja? . Danganyikan??.
Mm ni mtanzania na naipenda nchi yangu na kutii sheria na kuheshimu msimamo wa serikali. Maoni yangu yanatokana na uzoefu wangu katika biashara ya mazao kupeleka Kenya. Kuna watu wanategemea sana hii biashara.
Mibongolala Like if nyinyi tu ndo mnakuza mahindiSaizi mta process mawe
Hivyo hapo juu nilivyovihorodhesha. Duniani Chakula ndio kila kitu, kama familia yako haina uwezo wa kupata chakula, hiyo familia lazima itasambaratika, Kenya mnategemea chakula cha msaada toka kwa wahisani, hamuwezi kuwa taifa huru.Mna nini cha kuchukiwa?
sisi tunafanya biashara na 9 countries kenya is just a pea nut watu wa WFP wapo huku TZ wananunua mahindi
Kila mtu angependa kusiwe na mivutano na nchi yoyote ili maisha yaendelee kama kawaida, lakini ukilazimishwa kuingia katika mivutano, hutokua na jinsi zaidi ya kutafuta jinsi ya kuishi. Jaribu kuwasiliana na DRC wanahitaji sana Chakula, watakuja kukichukua hapo ulipo.Mm ni mtanzania na naipenda nchi yangu na kutii sheria na kuheshimu msimamo wa serikali. Maoni yangu yanatokana na uzoefu wangu katika biashara ya mazao kupeleka Kenya. Kuna watu wanategemea sana hii biashara.
I have told you to stop crying while writing, how many times do you want to be reminded?Hivyo hapo juu nilivyovihorodhesha. Duniani Chakula ndio kila kitu, kama familia yako haina uwezo wa kupata chakula, hiyo familia lazima itasambaratika, Kenya mnategemea chakula cha msaada toka kwa wahisani, hamuwezi kuwa taifa huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
But there is no movements from either side of the borders, those Tanzanians drivers where were they going?, stop your nonsense and get prepared for food scarcity in very near future.Kenya can't be shaken by cold threats. Today we turned back 53 drivers; 51 Tanzanians and 2 Burundians after they tested positive. Kenya will continue testing at the border post until that they we fill safe. Those doesn't want to be tested can remain in their country.
But there is no movements from either side of the borders, those Tanzanians drivers where were they going?, stop your nonsense and get prepared for food scarcity in very near future.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap. Point.Kila mtu angependa kusiwe na mivutano na nchi yoyote ili maisha yaendelee kama kawaida, lakini ukilazimishwa kuingia katika mivutano, hutokua na jinsi zaidi ya kutafuta jinsi ya kuishi. Jaribu kuwasiliana na DRC wanahitaji sana Chakula, watakuja kukichukua hapo ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya mtakosa
1)Mahindi
2)Michele
3)Legumes
4)Onions
5)Fruits
6)Cotton
7)Paper
8)Timber
9)Fertilizers
10)Cattle
11)Transformers(Electric)
12)Cooking gas
13)Wheat
Tanzania tutakosa bidhaa gani muhimu toka Kenya?, Tafadhali zihorodheshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyang'au unababaika na Kimombo mwishowe roho ikutoke kwa kuvamia lugha za watu kwa pupa!Kenya will continue testing at the border post until that they we fill safe. Those doesn't want to be tested can remain in their country
Acha uoga wewe bado tuna nchi nane za kufanya nazo biashara so mambo yanaenda achana na hao wakenya alafu tunakuja kuwa fix kwenye utalii pia we subili uone hii gemuingawa mm sio mkenya ila watanzania nahisi aliotulaani sio wa dunia hii: 70% of tanzanians wanategemea kilimo, watu wa mpakani wanapenda sana kuuza kenya kwa sababu ya good price, kwa tz bei ni mbaya sana, sasa hawa 70% utawalipa wewe ama? sioni sababu ya kuanza kuweka mada za kukomeshana, kenya ni moja ya soko letu la ni vema tukaacha haya malumbano, iv unajua kabla ya kenya kuanza kununua tanzania walikua wananunua mfano maindi kutoka mexico?
Nimecheka hili jibu hadi watu wamenishangaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saizi mta process mawe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂MY TAKE
Ushauri wangu watakapokuja kuomba chakula JPM ahakikishe chakula kinatolewa Mpanda na kusafirishwa kwa treni (the just rehabilitated MGR) mpaka Mwanza halafu ferry wagons (MV Umoja) mpaka Kisumu then watajijua from there onwards kama kwa kutumia their MGR au la? Halafu mbele waweke bango Food relief program with love from People of Tanzania!
Hivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.ingawa mm sio mkenya ila watanzania nahisi aliotulaani sio wa dunia hii: 70% of tanzanians wanategemea kilimo, watu wa mpakani wanapenda sana kuuza kenya kwa sababu ya good price, kwa tz bei ni mbaya sana, sasa hawa 70% utawalipa wewe ama? sioni sababu ya kuanza kuweka mada za kukomeshana, kenya ni moja ya soko letu la ni vema tukaacha haya malumbano, iv unajua kabla ya kenya kuanza kununua tanzania walikua wananunua mfano maindi kutoka mexico?
Huko kusini Kenya hufuata Avocado ambazo ndizo huzitegemea kwa soko lao la ulaya, na wakikumbwa na njaa, hufuata mahindi.Hivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.
Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kujibu, Kenya sio miongoni mwa masoko tunayotegemea, hata tusipouza bado masoko tuliyonayo hatuwezi kukidhi mahitaji yake, WFP wenyewe wanaweza kununua Chakula chote kinachozalishwa katika mikoa hiyo ya kaskazini.
Sent using Jamii Forums mobile app