Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Kenya mtakosa
1)Mahindi
2)Michele
3)Legumes
4)Onions
5)Fruits
6)Cotton
7)Paper
8)Timber
9)Fertilizers
10)Cattle
11)Transformers(Electric)
12)Cooking gas
13)Wheat

Tanzania tutakosa bidhaa gani muhimu toka Kenya?, Tafadhali zihorodheshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaninhvyo vitu kw akili hakuna kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na kwambia umerogwa, kitu kinachowafanya wafanybiashara wakenya kununua bidhaa tanzania ni bei tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, Mara zote ambapo Kenya na Tanzania zimetanuliana msuli, Kenya ndio umeshindwa na kuomba msamaha.

1) Unakumbuka sakata la Kenya kuzuia Gari za Utalii kufika JKIA na Tanzania kuamua kupunguza safari za ndege za KQ?, yupi aliomba msamaha?.

2)Unakumbuka Kenya ilipozuia gasi ya kupikia na ngano toka Tanzania, na Tanzania kuzuia maziwa na Sigara toka Kenya na kuzuia chakula cha Tanzania kuja Kenya?, nani aliomba msamaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko na ushahidi wowote kuhusu huo msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mjinga wa kikunya dk chache zilizopita alicoment humu eti tukifunga mpaka tutatoa wapi sabuni na mafuta ila naona amegundua ameandika ujinga akaona aifute tu [emoji23]

Haya ni kati ya mafuta yanayo ongoza kwa kutumiwa kwa sasa.
Nakwambia mtanuka meno, dawa za mswaki kw wanyoge mtazionea viusasa[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa mbinu iliyotumika Tz imeweka makubaliano na nchi zingine kdiplomasia alafu anadili na Kenya kibandidu.

Sent using Jamii Forums mobile app
MI kanimaliza leo mkku mkoa wa Tanga Martin Shigela wakenya wabakie kwao,ila mcongo,zambia rwanda,uganda we vuka tambaaa zako.Hii initwa ukimwaga ugali mi mboga namwaga kabisa
 
Unless you mention at least 3 essential goods Kenya exports to Tanzania, which I am sure there is none.

Only manufactured goods from Kenya that are in good numbers are
1)Exide batteries
2)Flagyl % anti pains medicines
3)Kiwi
4)Colgate
5)Milk and its products

There is no single essential products from Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu watu chato watanuka meno[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.

Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kujibu, Kenya sio miongoni mwa masoko tunayotegemea, hata tusipouza bado masoko tuliyonayo hatuwezi kukidhi mahitaji yake, WFP wenyewe wanaweza kununua Chakula chote kinachozalishwa katika mikoa hiyo ya kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao WFP wako wapi, si jiwe aagize mipaka ifungwe hzo trucks zipeleke hko wfp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi na Kenya tunategemeana sana.Lakini Kenya ndio watakoumia sana watakosa Chakula kuanzia matunda,mchele,ng'ano,mahindi na hasa pumba za ya vyakula vya mifugo ni mengi sana na mazao mengi ya biashara mfano ngwara Kenya inapendwa sana,ulezi n.k.Hii kitu italeta maumivu.
 
Hivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.

Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kujibu, Kenya sio miongoni mwa masoko tunayotegemea, hata tusipouza bado masoko tuliyonayo hatuwezi kukidhi mahitaji yake, WFP wenyewe wanaweza kununua Chakula chote kinachozalishwa katika mikoa hiyo ya kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app

1589824875085.png

angalia upande wa kulia kule mwisho, or to zoom for you here it is

1589824919722.png

angalia usijisahau sana kisa umeshiba, kesho might be worse! hata hio kazi unayofanya huezi jua mnyororo wake unaanzia wap chunga mdomo huo
 
Sisi na Kenya tunategemeana sana.Lakini Kenya ndio watakoumia sana watakosa Chakula kuanzia matunda,mchele,ng'ano,mahindi na hasa pumba za ya vyakula vya mifugo ni mengi sana na mazao mengi ya biashara mfano ngwara Kenya inapendwa sana,ulezi n.k.Hii kitu italeta maumivu.
I think you guys have a crazy notion that Kenyans must depend on your food to survive. Nahisi huwa hamtembei
 
Kila siku watu wanakufa njaa huko Kunya-Land. Kwashakoo na utapiamlo vimetamalaki kwa watoto wa Turkana.

We shupaza shingo hapa wakati nduguzo wanajifia kwa maradhi ya lishe huko kwenyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo wamekufa wangapi, halafu kwa utapiamlo tanzania hamna mpinzani[emoji23][emoji23][emoji23]yani mihogo inavyowatesa watoto..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingawa mm sio mkenya ila watanzania nahisi aliotulaani sio wa dunia hii: 70% of tanzanians wanategemea kilimo, watu wa mpakani wanapenda sana kuuza kenya kwa sababu ya good price, kwa tz bei ni mbaya sana, sasa hawa 70% utawalipa wewe ama? sioni sababu ya kuanza kuweka mada za kukomeshana, kenya ni moja ya soko letu la ni vema tukaacha haya malumbano, iv unajua kabla ya kenya kuanza kununua tanzania walikua wananunua mfano maindi kutoka mexico?
Acha kutetea ujinga wee Kwan hizo fujo tumeanzisha sisi au wao ndiyo vihelehele wa huu mgogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom