Hivi wewe unazungumza nini?, wacha kujiaibisha aisee, Kenya hainunui zaidi ya 10% ya mazao ya wakulima, sanasana ni mikoa michache ya kaskazini mwa Tanzania ndio huuza mazao yao Kenya, kumbuka mikoa inayozalisha chakula kwa wingi Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, ambayo hawauzi Kenya.
Tafadhali jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kujibu, Kenya sio miongoni mwa masoko tunayotegemea, hata tusipouza bado masoko tuliyonayo hatuwezi kukidhi mahitaji yake, WFP wenyewe wanaweza kununua Chakula chote kinachozalishwa katika mikoa hiyo ya kaskazini.
Sent using
Jamii Forums mobile app