Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

This is now the time tutajua mwanaume ni nani. Kenyan police are even crossing up to Tanzanian side wakifukuza wachawi wa Tanzania😂😂

Update. Vurugu Namanga wafanya biashara watanzania wanalia hasara. CCM oyee.
 
tunaelewa mauchungu na povu lazma zitolewe, mjifungie na hizo chakula zenu mnadhani mnatufanyia favour
mtaelewa kua adui sio 'kenya' au 'mabeberu'
 
tunaelewa mauchungu na povu lazma zitolewe, mjifungie na hizo chakula zenu mnadhani mnatufanyia favour
mtaelewa kua adui sio 'kenya' au 'mabeberu'

Don't worry wataelewa tu. As of today, their drivers have decided to cooperate alafu na hile rungu inapata Tanzanian traders ni za ajabu ajabu.
 
Umefanya mpango upi kuhakikisha wakulima wa vitunguu na matunda hawapati hasara ya kuazo mazoa yao kutokana na kukosa soko. Je unayo mapango wa kufidia hasara? Kusema na kutenda vitu viwili tofauti.
Kabla ya kuandika unapaswa uwe umefanya utafiti japo kidogo sana. Tanzania soko lake kubwa ni nchi za SADC, yaani Commoro, DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Namibia na hizi nchi za EA, yaani Rwanda na Uganda. Soko la Kenya halizidi 10% ya "market share ".

Usisikie kelele za hawa wakenya unadhani ni soko Muhimu sana kwa Tanzania, hata tukiachana nao hakuna hata kilo moja ya mazao ya wakulima yatakayoharibika.

Tatizo lipo kwa wakenya, Zaidi ya Uganda na Tanzania, na kidogo Rwanda na DRC, hawana nchi zingine zilizowazunguka ambazo wanafanya biashara, kwahiyo kwa Kenya, Tanzania na Uganda ni nchi pekee muhimu kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kununua chakula kutoka nchi 50 za Afrika na zaidi ya nchi 100 duniani. Tanzania sio nchi pekee inayozalisha chakula duniani. Kwanza chakula zenu mbovu tu.
MY TAKE
Ushauri wangu watakapokuja kuomba chakula JPM ahakikishe chakula kinatolewa Mpanda na kusafirishwa kwa treni (the just rehabilitated MGR) mpaka Mwanza halafu ferry wagons (MV Umoja) mpaka Kisumu then watajijua from there onwards kama kwa kutumia their MGR au la? Halafu mbele waweke bango Food relief program with love from People of Tanzania!
 
Alafu wakenya mnasema sana kinjeketile hivi nyie mau mau war iliwafanya nini
Maji maji and Kinjeketile Ngwale was the most dumbest rebellion and leader respectively in the world. How on earth did Kinjeketile Ngwale cheated his followers that bullets can turn to water? Mau Mau on the other hand was one of the brightest movements in the continent, they made their own guns and grenades. They didn't believe in stupid faith like maji maji.
 
tunaelewa mauchungu na povu lazma zitolewe, mjifungie na hizo chakula zenu mnadhani mnatufanyia favour
mtaelewa kua adui sio 'kenya' au 'mabeberu'
Wapatanisheni kwanza Uhuru na Ruto haha ha ha ha ha ha
 
Tony254: ikiwa mnashindwa bei ya mnavyozalisha kwenu mtaweza huko kwingine? Hua mnasusa hivo hivo baadae mnajirudisha kwetu sisi tuliojaaliwa ardhi kubwa acha tulime ninyi mtakula tu sisi hatutowanyima chakula hatuna roho mbaya kama yenu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmepewa mkopo mbafunga mpaka ili mumfurahishe bwana wenu awaone mnapambana na corona

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tony254: ikiwa mnashindwa bei ya mnavyozalisha kwenu mtaweza huko kwingine? Hua mnasusa hivo hivo baadae mnajirudisha kwetu sisi tuliojaaliwa ardhi kubwa acha tulime ninyi mtakula tu sisi hatutowanyima chakula hatuna roho mbaya kama yenu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Utanyimaje mtu kitu na huna pesa?
 
Back
Top Bottom