PreGE2025 Wafanyabiashara wa Makambako, tuna imani na serikali iendelee kushughulikia changamoto hususani sheria kandamizi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao.

Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado zinawakabili hususani sheria kandamizi.

Ameeleza hayo yote katika mkutano wa Waziri mkuu Kassim Majaliwa uliofanyika mjini Makambako.

Ila nyie wa hapo makambako muache kufukuza mvua
 
Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao.

Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado zinawakabili hususani sheria kandamizi.

Ameeleza hayo yote katika mkutano wa Waziri mkuu Kassim Majaliwa uliofanyika Makambako.
 
Back
Top Bottom