Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wakuu
Naomba kufahamu machimbo wanayouza vitu vya dukani vya jumla kama soksi, vitambaa, miswaki, rula, pen, toothpick, super glue, aina za pipi zote...nk

Natanguliza shukrani
Nenda Mchikichi
 
Shukrani
 
Nina uhitaji wa digital camera, bajeti yangu ni 550000 nipo Dar ni wapi kuna maduka ya Camera quality lkn bei rafiki?
 
Wandugu mi. Nauliza hizi kadeti za kiume zinazouzwa 17000 wananunua wapi kwa jumla ? Mfano huyu jamaa anjiita Mr kadeti anauza Bei huyo na wemgine wengi tu mtandaoni...
 
Tumeni na picha za bidhaa hususan nguo ,nguo kila fashion ina bei zake
 
Wakala wa products za Lyon plz.... Nataka microwaves, rice cookers, Brenda and alike kwa bei ya jumla name niuze....
 
Uzi mzuri sana huu nabaki hapa hapa kupata maarifa zaidi.
 
Naomba kujua machimbo ya vitu vifuatavyo
T-shirt 4m6 zile machinga wanauza 7000
Sandals za kike zile machinga wanauza 3500
Vijora vile wanaviuza 6000
Bidhaa za dukani kama Foil, miswaki, pipi, jaladio, soksi, pencel, pen, daftari, kofuli, lesso n.k
Sandals za kike na kiume za kimasai
Boxer zile zinafungwa tatu tau machinga wanauza 10,000
Jeans ambazo machinga wanauza 12,000

Kwa anayejua akiweka na bei za kununulia kwa jumla itapendeza zaidi.
 
Wakuu naomba kujua wanapouza mkasi wa moto, wenyewe ukikata hauachi nyuzinyuzi unatengeneza smoothness unatumika sana kutengeneza handbags hizi za wadada hasa zile za kichina unakuta wametumia huu mkasi wa moto.
 
Ungeweka na bei mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…