Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Biashara inahama value ndio,Umeambiwa hicho kitabu kina namba za simu 600. Namba za simu zinahama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara inahama value ndio,Umeambiwa hicho kitabu kina namba za simu 600. Namba za simu zinahama?
Namba ya simu inakua ni ileile boss. Mawasiliano hayabadiliki.Biashara inahama value ndio,
Mtu anaweza kuwa yule yule ila kwa biashara miezi kadhaa ni mingi mno kwa huyo mtu kuwa relevant bado na awe na mzigo wa bei rahisi kuliko wengine.Namba ya simu inakua ni ileile boss. Mawasiliano hayabadiliki.
Naomba kufahamu machimbo yaa simu viswaswadu kwa bei nzur
Wakuu chimbo la pombe kali kariakoo naombeni Masaada wenu.
Napata wapi maduka ya vipodozi perfume spray na mafuta
Natafuta chimbo la zile tshirt na bukta fake, zinakua zina picha za wasanii na watu maarufu, uwa wanapendelea sana wasukumu au wakinga
Nina shida na wanapouza Rasta,bei nafuu kwa bei ya jumla,anayejua naomba anifahamishe
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Habari meneja,
Habari jamaa,Kama unahitaji chimbo la jezi high quality, mcheki huyu jamaa
0622882036
Habari Hornet.Naitafuta pia siioni
Hata ile uzi siuoni pia
Salama boss, sisi tunauza kitabu cha machimbo ya Kariakoo.Habari meneja,
Natafuta chimbo la hizi bodysuit hapa Kariakoo. Niende duka/mtaa gani ?
Nataka kununua vi-bodysuit kama vinne/vitano hivi.
View attachment 3185512
Hello mimi sportswear nina sehemu mbili nanunuaHabari Hornet.
Natafuta chimbo la hizi bodysuit hapa Kariakoo. Niende duka/mtaa gani ?
Nataka kununua vi-bodysuit kama vinne/vitano hivi.
View attachment 3185518
Cabs
hello, nmeenda hapo cabs lakn nmekuta bei zao zko juu sana. minimum price kwa mita moja ni 6000(yaan hicho ktambaa ukishika ni kama nylon flan hv. sasa mm nauliza hawa wauzaji wa kariakoo wanaouza shuka 2 kwa elfu 20-25 wao wananunua wapi kwa bei ya chini hvyo vitambaa vya kushonea hayo mashuka?Siyo kariakoo ni mitaa ya DIT pale
Ukiulizia kwenye mashuka unaonyeshwa
hello, nmeenda hapo cabs lakn nmekuta bei zao zko juu sana. minimum price kwa mita moja ni 6000(yaan hicho ktambaa ukishika ni kama nylon flan hv. sasa mm nauliza hawa wauzaji wa kariakoo wanaouza shuka 2 kwa elfu 20-25 wao wananunua wapi kwa bei ya chini hvyo vitambaa vya kushonea hayo mashuka?Hiyo cabs ni curtains and bedroom solutions ukifuata tu ile barabara ya cbe utaliona tu kibao chenye hayo maandishi, sio kikubwa
Shuka za elfu 13 zipo mbili na foronya 2, lakini pia zipo za 15 na 18Eti jaman,,,
hawa wauzaji wa kariakoo wanaouza shuka 2 kwa elfu 20-25 wao wananunua wapi kwa bei ya chini hvyo vitambaa vya kushonea hayo mashuka?
Kalaga Baho Nongwa
vitambaa vya kushonea hayo mashuka wanavinunua wapi?Shuka za elfu 13 zipo mbili na foronya 2, lakini pia zipo za 15 na 18