Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba kufahamu machimbo yaa simu viswaswadu kwa bei nzur
IMG-20241129-WA0000.jpg
 
Kama unahitaji chimbo la jezi high quality, mcheki huyu jamaa

0622882036
Habari jamaa,
Natafuta chimbo la hizi bodysuit hapa Kariakoo. Niende duka/mtaa gani ?

Nataka kununua vi-bodysuit kama vinne/vitano hivi.
Screenshot_20241226-134746.jpg
 
Naitafuta pia siioni
Hata ile uzi siuoni pia
Habari Hornet.

Natafuta chimbo la hizi bodysuit hapa Kariakoo. Niende duka/mtaa gani ?

Nataka kununua vi-bodysuit kama vinne/vitano hivi.
Screenshot_20241226-134746.jpg
 
Habari Hornet.

Natafuta chimbo la hizi bodysuit hapa Kariakoo. Niende duka/mtaa gani ?

Nataka kununua vi-bodysuit kama vinne/vitano hivi.
View attachment 3185518
Hello mimi sportswear nina sehemu mbili nanunua

Moja kwa huyu hapa 0713 334 630
Ana import za USA bei affordable kabisa (na imani hauwez kukosa kwake)

Na pengine nimechek naona anazo za kike tupu.
 
Siyo kariakoo ni mitaa ya DIT pale
Ukiulizia kwenye mashuka unaonyeshwa
hello, nmeenda hapo cabs lakn nmekuta bei zao zko juu sana. minimum price kwa mita moja ni 6000(yaan hicho ktambaa ukishika ni kama nylon flan hv. sasa mm nauliza hawa wauzaji wa kariakoo wanaouza shuka 2 kwa elfu 20-25 wao wananunua wapi kwa bei ya chini hvyo vitambaa vya kushonea hayo mashuka?
 
Hiyo cabs ni curtains and bedroom solutions ukifuata tu ile barabara ya cbe utaliona tu kibao chenye hayo maandishi, sio kikubwa
hello, nmeenda hapo cabs lakn nmekuta bei zao zko juu sana. minimum price kwa mita moja ni 6000(yaan hicho ktambaa ukishika ni kama nylon flan hv. sasa mm nauliza hawa wauzaji wa kariakoo wanaouza shuka 2 kwa elfu 20-25 wao wananunua wapi kwa bei ya chini hvyo vitambaa vya kushonea hayo mashuka?
 
Eti jaman,,,
hawa wauzaji wa kariakoo wanaouza shuka 2 kwa elfu 20-25 wao wananunua wapi kwa bei ya chini hvyo vitambaa vya kushonea hayo mashuka?
Kalaga Baho Nongwa
 
Back
Top Bottom