Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

wiki iliyopita niliamua kwenda mwenyewe kaliakoo nikitokea singida, nilienda kwa influence ya uzi huu, nashukuru Mungu nilipata chimbo za kutosha, ukipata nafasi nenda tu kajarbu usiogope, nilienda kuchukua viatu.
Hongera kwa kupata chimbo za kutosha , tushirikishe na wenzako hizo chimbo pia nasisi tuyajue.
 
Viatu vya kike bos simple na vya wazi, bei ni kuanzia 3500 kwa viatu vya waz na 5000 kwa simple.
 
Hizo 32gb memory card ni kampuni gani na je ni OG? Nahitaji pc 100 utanifanyia bei gani?
 
Mbona hujaweka namba Sasa tutakupataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…