Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Nimeku pmUmeshapata shea butter? Karibu ninayo kwa jumla na rejareja
Mkuu niisaidie na mimi hilo chimbo
Za Kimasai?
Nashkuru mkuu ubarikiweZa Kimasai?
Nenda Machinga Complex ulizia eneo la walemavu wanapotengenezea viatu
Mkuu samahani hivi ni chimbo gani K.koo naweza kupata viatu vizuri vya kike kwa jumla.Za Kimasai?
Nenda machinga complex ulizia eneo la walemavu wanapotengenezea viatu
Najua maduka ila jina la.mtaa sikumbukiMkuu samahani hivi ni chimbo gani kkoo naweza kupata viatu vizuri vya kike kwa jumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie majina ya maduka mkuu kama hutojali.Najua maduka ila jina la.mtaa sikumbuki
Nikipita nitaangalia
Maduka ya mchina mengi hayana majina
Nashkuru mkuuMaduka ya mchina mengi hayana majina
Ila ni njia ile inayotizamana na kituo cha mwendokasi msimbazi B"
Ukimaanisha?Habari wapendwa...wapi naweza kupata vifaa vya watoto kwa bei ya jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha kama baby receiever za jumla, play suit etcUkimaanisha?
Narung'ombeNajua maduka ila jina la.mtaa sikumbuki
Nikipita nitaangalia
Wauzapo bidhaa za kutengeneza sabuni, dawa za usafi , mafuta, Mishumaa, chaki
Haina shida, ntakupelekaWauzapo bidhaa za kutengeneza sabuni, dawa za usafi , mafuta, Mishumaa, chaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie na mimi namba ya huyo mdau, natafuta spare parts za simuNgja nku pm namba ya Mdau mmoja ana duka hapo kko mtaa wa likoma ana duka la spear za simu tu...anatoa nje
Ova
Bila shaka ni mtaa wa narung'ombe huo!Maduka ya mchina mengi hayana majina
Ila ni njia ile inayotizamana na kituo cha mwendokasi msimbazi B"
Itakua