Kwa nini msinunue mzigo wenyewe then mkiufikisha kwa muhusika ndio awape pesa ili kujenga uaminifu kwanza?.Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
Naomba unitumie hizo wallet na mikoba ya Kenya kwenye namba yangi hii ya WhatsApp 0754660061Ntaweka picha hapa
Hawasemagi jamani, na madera yalivyo mengi.Haaaa!! Kifaa cha 3000 dukani yeye anatuuzia 6000.ilikuwa akipiga simu mbona hatuonekani tunamwambia tumefulia, hivyo hata hao wanaoenda China in hivyo hivyo mpaka uje kugundua supplier wa bei rahisi ni shida. Kama vipi kawaulize wale wanaomwaga Madela kwa bei rahisi kama watafunguka?
Naomba unitumie hizo wallet na mikoba ya kenya kwenye namba yangi hii ya wasapu 0754660061
Mkuu njoo pm. Nina walet na mapochi ya ngozi toka Nairobi
Mzimbazi naona wanakuaga na punguzo kutokana na idadi unazochukua.Mkuu mimi nataka chimbo la rasta
Dada Charty ongela kwa roho yako nzr km umeolewa mmeo nampa zake pongez kwa kuchagua.
Yaan wanawake tungekuwa na roho nzuri hivi presha na mambo ya ajabu yasingetupata.Huyo mdada Charty ni mtu poa sana, hanaga ubagamoyo. Ana moyo wa kiskauti.
Na ukifuatilia michango yake mingi humu jf, utagundua kuwa ni mdada ambaye anazijua hustles za kimaisha. Siyo mchoyo wa kushea michongo au sapoti.
Ni miongoni mwa wadada wachache wa JF that will always have my maximum respect.
-Kaveli-
Hizo Nairob zitaeza kuwa rahisi kuliko Dar kwelNa mwenye kujua chimbo la post cards, memory cards na flash .
Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.