Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa


Hata sijakupiga kiongozi
Kuna cadet grade tofauti tofauti

Pole kwa kuona umepigwa.
Ila kutokana na grade tunayouza bei yake ni sahihi kabisa
Kariakoo hata za 17,000 zipo naweza kukuagiza dukani ukachukue ila utarudi kulaumu zinatoa unga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok kumbe deference ni kulingana na grade, nimekupata bt dukan kwako ungekuwa unaweka na grade zote na price ili mteja alinganishe, anunue na aondoke kiroho safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok kumbe deference ni kulingana na grade, nimekupata bt dukan kwako ungekuwa unaweka na grade zote na price ili mteja alinganishe, anunue na aondoke kiroho safi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana siwezi atanunua akivaa miezi miwili ikiharibika hawezi kurudi tena

Mfano zile za 40k zinatoka Uganda kule napo siyo cheap kihivyo so zinauzwa kutokana na ubora n unavyonunua

Ila cadet ukitaka za 17,000 feel free nakuagizia duka la nyumbani wanazo kibao
Ila hawana hasara wanauzia watu wa mikoani kwa jumla mtu akiondoka ameondoka
Pale wateja ni wa kwenda na kurudi utauzaje mali ya lawama?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata vyema sister, angalau roho imerelax kdg, naamin usemayo ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nichinga wa wamitumba. malanyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaamojamoja yan kuchuz. na nimekuwa niki mix bidha sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila najiuliza ninunue balo gani yenye kunipa faida na kuisha kwa wakati?? kwa walio naudhoefu na biashala hii wanisaidie mawazo maendeleo hayana chama"

Sent using Jamii Forums mobile app

Nibora ungeanzisha uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nakushauri ubase kwenye bidhaa moja
Utajua nje na ndani ya hiyo bidhaa
Ukishasimama nayo ndipo uongeze nyingine


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu itabidi upange deal na operator wa simu yako ili number yako.ukipigiwa iwe ya premium rate. Kwa mfano normal rate ni Tshs200/min simu yako kupigiwa ni Tshs500/min kwa hiyo unapata Tshs 300/min kila ukipigiwa
 
Wakuu muwage mnatuambia Basi na machimbo ya waganga wa kienyeji mnao watumiaga ili ku boost biashara [emoji3]
 
Mi nahitaji one size za kuvaa Mimi nitazipata. Kwa bei ya jumla utaniuzia kuanzia kadeti ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…