Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba kujuzwa kuhusu mahali kariakoo vinauzwa vitenge na mashuka ya kimasai kwa bei nafuu bei ya jumla ?
 
Karibuni sans Tunauza asali mbichi kutoka tabora na katavi
[emoji979]Tumia asali mbichi kila siku kwa afya njema
[emoji3591]lita moja 12,000
[emoji3591]nusu lita 6,000
[emoji3591]robolita 3,000

Free delivery DM or 0766185283
 
Naja pm mpendwa
 
Habari wapendwa, naomba kujuzwa chimbo la diapers, wipes na vitu vya watoto.
 
Mbarikiwe sana wana jf
Madini kama yote kwa bei ndogo kabisa
 
Mbona chupi bei za magari? unaagiza kiwandani kabisa?
 
You are the best Charty. Umesaidia watu wengi sana hapa. Naomba kama naweza wasliana zaidi na wewe kwa sim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…