Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Eeh vinalipa ukituma na dar express ni sawa vinafika
 
It seems kuna bidhaa ambazo ni bei nafuu unazipata Nai kuleta Tz... na kuna bidhaa ni bei nafuu unazipata Dar kupeleka Kenya.

Information is Power. Hata kama bado mtu hauna mtaji na una nia ya Biashara, kusanya taarifa sahihi kwanza. Right info! Right info! Right info! kwanza before you jump-in to play the game.

-Kaveli-
 
Huko nguo za kike na kiume naleta mana huku rahisi, huko nachukua vitenge na pochi mana huku ndo hamna
 
We mkali asee
 
Asante wangu mana ata mimi nikikua natamani sana nijue wanako jumua vitu.
 
Blessed
 
Viatu nai ni mchina vingine tu. Kama vya kike Dar vipo vingi na vizur zaid japo uku navyo wanatoa Kampala vizur na Dar
Asante. Kwa experience yako, wapi bora kwa kununua viatu kati ya Dsm, Nai na Uganda
 
Mi sio mchuuzi ila ww una roho nzur blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…