Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

WAPI NITAPATA CHIMBO LA VITU HIVI VIFUATAVYO
-Earphone za bei chee
-Charger
-usb za urefu mpk mita tano imara za bei chee
Vinote book na daftar pen kwa bei jumlaa
Kalamu kwa bei jumlaa

Nitashukuru sana
 
Brother naomba unipm contact zako
 
jamani nauliza maduka yanayouza vifaa vya simu kwa bei rahisi zaid mimi nipo mwanza nataka kwa bei rahisi zaid mfano battery ndgo za cm nipate hata kwa 1000/ protector 400 kava 2500 za autofocus 800 nipe msaada namba zangu hizo 0621131817

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam,

Naombeni kujua ni wapi zinauzwa nguo mtumba za wakina dada, kwa maeneo ya Dar es Salaam.

Nataka nikafanye biashara bwana. Naamini humu Kuna wajuvi wa mambo

Karibu.
 
Nenda mwenge hutajuta. Nguo za wife huwa namnunulia hapo. Bei chee kabisa had utapenda. Nikiwa na laki mbili tuu ni nguo nyingi na nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…