Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Mkuu embu naomba uweke picha kadhaa zahizo KofiaTshirt Elfu 13
Form 6 Tshirt 14
Mashati Elfu 14
Sweta Elfu 15
Vipensi Elfu 13
Kofia 7500
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata tushtuane mkuuNaombeni ule uzi wa machimbo ya k koo kujumua bidhaa.
Unataka chimbo la bidhaa gani kuwa specific itarahisishaNaombeni ule uzi wa machimbo ya Kariakoo kujumua bidhaa.
Ule uzi una kila kitu nautaka ule mi nataka bidhaa mbalimbali...viatu hereni bags.
Nashkuru kwa ushauri boss.Zile azichukuliw kkoo kunaviwanda vipo vya jeans kma pale external nenda kaulize kuna wachina pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishuka ulizia viwandani kuna viwanda vingi vya nguo mzee watakuonesha vpo road kabsaNashkuru kwa ushauri boss.
Hcho kiwanda kinaitwaje nikifika external niulize?
Sehemu gani hiyo kkooTshirt Elfu 13
Form 6 Tshirt 14
Mashati Elfu 14
Sweta Elfu 15
Vipensi Elfu 13
Kofia 7500
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kijana anafananisha nguo na vitu vya kijingaMbona hizo picha ni nguo za wanyoa viduku.
Yaani unamaanisha hizo picha ndio za pamba Kali unazo maanisha..!!??
Sent using Jamii Forums mobile app