mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
unakusudia hii hii mifuko ya viroba vya kawaidaWakuu naomba kuuliza sehemu wanapouza mifuko ya kuhifadhia/ kuwekea mahindi yenye ujazo wa debe 6-7 na bei zake kwa kariakoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kawaida ya sulfate kwa ujazo wa kg 100unakusudia hii hii mifuko ya viroba vya kawaida
au kuna mifuko maalum kwa ajili ya kuhifadhia mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shi ngapiNi vizuri wengi tunauza best quality kwa ajili ya kipato chetu ambayo mtu atavaa na kuridhia...hatuwezi uza ile original maana price tag yake demand iko chini
Kweli kabisaIt seems kuna bidhaa ambazo ni bei nafuu unazipata Nai kuleta Tz... na kuna bidhaa ni bei nafuu unazipata Dar kupeleka Kenya.
Information is Power. Hata kama bado mtu hauna mtaji na una nia ya Biashara, kusanya taarifa sahihi kwanza. Right info! Right info! Right info! kwanza before you jump-in to play the game.
-Kaveli-
Gerezani, somali na londo streetNaomba msada wenu anaejua chimbo la material ya kutengeneza sabuni za miche na vipande!!!
Wacha porojo mkuumachimbo ya chupi yapo mengi
lipo moja kubwa maduka mengi kwa pamoja kama 50 au zaidi
linalofuatia yapo kama maduka 20 hv pamoja
halafu yapo yaliyo kaa moja moja tafauti tofauti
ki ukweli bidhaa za kariakoo nitafuteni tu mimi mutafurahi wenyewe
nitakupeka chimbo moja baada ya moja
ukizoea utaenda mwenyewe
0788 41 76 74
Sent using Jamii Forums mobile app
machimbo ya chupi yapo mengi
lipo moja kubwa maduka mengi kwa pamoja kama 50 au zaidi
linalofuatia yapo kama maduka 20 hv pamoja
halafu yapo yaliyo kaa moja moja tafauti tofauti
ki ukweli bidhaa za kariakoo nitafuteni tu mimi mutafurahi wenyewe
nitakupeka chimbo moja baada ya moja
ukizoea utaenda mwenyewe
0788 41 76 74
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mtaa wa mchikichi kkoo maeneo ya msikiti wa kiblaten maduka yapo kibao maeneo yalejamani chimbo zuri la mapazia ya kisasa, mashuka special na mazulia liko sehemu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa karikakoo mtaa wa mchikichi kuna maduka makubwa wanauza saa kwa bei nafuu sana...ww ukifika mchikichi jirani na msikiti wa mtoro ulizia maana maduka mengine yako kwa ndani....yanahitaji kuelekezwa.Wadau nahitaji kujua chimbo kariakoo ambapo naweza kupata saa za kike na kiume kwa bei ya jumla kabisaaa. Pia chimbo ambalo naweza kupata suit accessories mfano tai, suspenders, socks, pocket squares n.k kwa bei ya jumla. Naombeni msaada wa kuelekezwa tafadhali