Oya hebu nipe chimbo ta t-shirt Manga whole sale
Kariakoo shimoni ulizia dukani kwa ustadh anauza hizo tshirt.Oya hebu nipe chimbo ta t-shirt Manga whole sale
Kariakoo shimoni ulizia dukani kwa ustadh anauza hizo tshirt.
Pitia uzi huu uko juu utapata majibu ya hitaji lako nahisi lishatolewa maelekezo.Habarini wakuu?? Mimi naulizia Chimbo la mazulia kwa bei ya jumla, msaada wenu tafadhari.
Ingia mtaa wa agreyJamani chimbo zuri la mapazia ya kisasa, mashuka special na mazulia liko sehemu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
soma post ya juu ya pist hiiHabarini wakuu?? Mimi naulizia Chimbo la mazulia kwa bei ya jumla, msaada wenu tafadhari.
ingia mchikichi ukitokea msimbaziWadau nahitaji kujua chimbo kariakoo ambapo naweza kupata saa za kike na kiume kwa bei ya jumla kabisaaa. Pia chimbo ambalo naweza kupata suit accessories mfano tai, suspenders, socks, pocket squares n.k kwa bei ya jumla. Naombeni msaada wa kuelekezwa tafadhali
saa angalia post ya juu ya post hiiWadau nahitaji kujua chimbo kariakoo ambapo naweza kupata saa za kike na kiume kwa bei ya jumla kabisaaa. Pia chimbo ambalo naweza kupata suit accessories mfano tai, suspenders, socks, pocket squares n.k kwa bei ya jumla. Naombeni msaada wa kuelekezwa tafadhali
Habari mkuu wapi naweza pata kpti za korea za mtumba kwa belo? Pia ilala boma nguo za mtumba wanafungua belo kila jumatatu au kilasiku? Natanguliza shukrani mkuusaa angalia post ya juu ya post hii
maduka ya suit
inahitaji
kufuatilia kidogo ili kujua unachohitaji wewe kinapatikana duka gani
0658184797 nkuelekeze mtaa. Jina siukumbukiwadau nawasalimu nilikuwa naomba msaada wa chimbo la toys za watoto hizi
Maduka ya mtumba ya jumla yapo mengi na yapo maeneo maeneo tofauti tofaut ila kwa uwingi zaidi yapo mtaa wa lindi yaani unafika mpaka mnazi mmoja stand kisha ufuate mtaa wa lindi kama unaelekea huko utayaona maduka mengi sana ya mtumba ukifika waulize wale vijana wanabeba beba yale mabaro wanayo nunua watu utawakuta nje ya maduka hao watakuelekeza vzr duka linalouza bidhaa hiyo kuhusu ilala sifahamu ratiba yake.Habari mkuu wapi naweza pata kpti za korea za mtumba kwa belo? Pia ilala boma nguo za mtumba wanafungua belo kila jumatatu au kilasiku? Natanguliza shukrani mkuu
Asante sana mkuu ubarikiwemaduka ya mtumba ya jumla yapo mengi
na yapo maeneo maeneo tofauti tofaut
ila kwa uwingi zaidi yapo
mtaa wa lindi
yaani unafika mpaka mnazi mmoja stand
kisha ufuate mtaa wa lindi kama unaelekea
huko utayaona maduka mengi sana ya mtumba
ukifika waulize wale vijana wanabeba beba yale mabaro wanayo nunua watu utawakuta nje ya maduka
hao watakuelekeza vzr duka linalouza bidhaa hiyo
kuhusu ilala sifahamu ratiba yake
wadau nawasalimu nilikuwa naomba msaada wa chimbo la toys za watoto hizi
Jezi zinauzwaje BossUkiitaji jezi ni tag [emoji958]