Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Nimekupanda bure, mimi naweza kupata wapi nguo za watoto wachanga, age 0-8yrs?
 
Vp kuhusu nguo za ndani za kina mama
 
Mkuu katika kupambana na hali tunaomba chimbo LA hotbasic, manga na suruali za kiume
Machimbo ya kiume yapo mtaa wa Congo na Mchikichi na Aggrey but unatakiwa uingie kule ndani kabisa wanaita underground sio huku njenje pia Congo na narung'ombe kwa ndani kabisa underground utajionea maajabu ya viatu na pamba za ukweli..usiangalie maduka ya nje nje tu. Tena zipo nguo quality mwenyewe tu ushindwe kuchagua
Msaada kwa wenye uzoefu na vitu vya Stationary wanisaidie maana nmezoea kununua maduka ya mwanzoni mwa Mtaa wa Kongo.
Yanapatikana kule mitaa ya gerezani yanapakana na maduka ya dawa za binadam, nadhani ni Gerezani na Nyamwezi kama sijakosea mitaa vizur ukifika maeneo ya Gerezan ukimuuliza mtu anakuonyesha.
Na mwenye kujua chimbo la post cards, memory cards na frash .
Yapo Mchikichi ya Likoma karibia na Akiba Bank branch ya Kariakoo yaani memory card bei che na headphone nenda kajionee.
Nimekupanda bure, mm naweza kupata wapi nguo za watoto wachanga, age 0-8yrs?

Vp kuhusu nguo za ndani za kina mama
Yapo mtaa mmoja unaitwa Muhonda upande wa pili wa Msimbazi. Kule wanauza kila aina ya chupi ronya na quality bei zao zipo vizuri wanauza boxer soks hata hiz skintight tunazouziwa buku kumi moja zinauzwa kule kwa dz bei nzuri.
Pia mtaa wa mchikichi nao kuna wachina na wazawa wanaouza kwa bei ya jumla kwa quantity kubwa.
 
Big up sana umekuwa msaada mkubwa sana hasa kwetu wa mikoani.
 
Msaada dada wa huko nairobi. nina mtaji wa 1000000
Inatosha inategemea style yako ya uuzaji....
Na Wale wote mliouliza kuhusu nairobi
Mzigo wa nai na k/koo ni almost the same na wanatoa copy ya nguo aina zote na bei ni ndogo kuanzia gauni jeans, skirt, mabazee na vitenge...
Hapo ukienda nai na kukusanya hizo copy kuja kuuza kwa jumla inalipa Sana hata hao wanaouza jumla k/koo wengi wao wanatoa nai
 
Mi ninachokifanya naenda nai nafunga Mzigo wangu nikifika dukani nauza jumla na reja reja bei sawa na dar nahakikisha kila pc1 inatoa efu 4 na nasafari kila wiki kwa sehemu niliyopo nategemewa na wenye maduka na wanaouza kwa kutembeza muhimu fanya utafiti wa eneo ulilopo na kujua aina ya nguo zenye mzunguko mkubwa maana biashara si kupamba duka bali bidhaa zitoke.

K/koo siku izi wanamix copy na og na wanakuuzia bei moja.. @honort hope nimekupa idea
 
Asante, nitakutafuta nimfungulie mama watoto duka la nguo.
 

zamani nilikuwa nafata vitu kariakoo ila siku hizi ukiingia huko kweupo kabisa

asante kwa feedback
 
Madera VP mkuu?
 
Ehhhh una roho mbaya riziki haizuiwi usiwe mchoyo Wa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…