Umeni inspire Sanasawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Hornet msaada wako hapoStart
Wanajamii naomba kujulishwa maduka ya jezi oriGinal na ziwe UniQue kidogo sio za kufanana sana bei yeyote tu
Am wait
Nenda mtaa wa Msimbazi k'koo karibu na Banc ABCPikipiki za ku-charge nataka hela yangu imefikia tayari naombeni location wapi ntapata
Budget nataka
Naomba kwa anayefahamu wanapouza kwa jumla vifaa vya magari aina ya Mazda na Kia
PostaStart
Wanajamii naomba kujuliashwa maduka ya jezi oriGinal na ziwe UniQue kidogo sio za kufanana sana bei yeyote tu
Am wait
Unahitaji godauni au fremu
sehemu ganiPosta
Ungesema na mtaa unaohitaji bossFrame, Mahala pa kuweka Vitu vinavyokuja ninapona usafiri wa kuvipeleka dukani anytime upo......
Ungesema na mtaa unaohitaji boss