Wafanyabiashara wa Tanzania hawataki kabisa kulipa kodi, wana tatizo gani vichwani? Too much kulia lia

Halafu kodi nyingi sana siyo za Wafanyabiashara.

Wao ni mawakala tu kwa niaba ya serikali lakini bado hawataki kulipa kodi mpaka kwa mbinde!

Mfano VAT, PAYE, n.k siyo hela zao lakini bado kulipa ni kwa shuruti [emoji848][emoji848][emoji848]

Bongo bahati nzuri.
 
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.

Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!

Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!

It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Ila hizi fikra fupi kama mamba eti akihisi manyunyu anakimbilia mtoni asilowane ni shida tupu.
 
Wafanyabiashara hawakatai kulipa kodi ila muda mwengine hubidi kupitia njia za pembeni kwasababu za baadhi ya watu wasiowaaminifu(wakusanya Kodi) unaweza tajiwa Kodi inayosonsomola hata mtaji wako wote! Halafu Kuna Kodi haziangalii umepata faida au hasara wao wanachota tu!. Nenda kafatilie magufuli alivyoita wafanyabiashara ikulu utaelewa changamoto zao.

Unatoa mzigo bandarini umelipa Kodi upo barabarani bado unakamatwa ulipo tozo sijui za mdudu gani! Ukifikisha mzigo bado Kuna Kodi za leseni huko. Halafu ukija kuuza bidhaa bado mteja analalamika apunguziwe! Sasa kwa haya yote kwanini mtu asipitishe mzigo wake bandari bubu!

Mambo ni mengi fatilia.
Ninakubali mkuu, changamoto zipo kwa pande zote. Hata wakusanya kodi baadhi siyo waaminifu. Ni kutafuta mbinu za kufichua maovu yao na kuyaweka hadharani.
 
Kodi ya elfu 20,000 ya kitambulisho? Sasa na ww unajiita mfanyabiashara?
Unameza ya maharage na karanga na unapeleka mbuzi mnadani. Mbona bado sana
JUzi nimepeleka mbuzi mnadani na nimelipa kodi. Sasa mtu anakuja na story kibao za kuhamia Kenya. So what? GO!
 
Upo sokoni Una meza YAKO unalipa Kodi ya maana kabisa.
UTOTO RAHA
Niko sokoni nina meza yangu tangu nimalize chuo kikuu. Hapa nalipa kodi ya maana kabisa! Bila hata kuzunguka kila kona nikilia lia bila sababu. Lipa kodi. Ukishindwa tafuta unakoona kodi haitakiwi.
 
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.

Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!

Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!

It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Kwanza pole kwa misiba minne iliyokutokea pale white house. How are you feeling?
 
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.

Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!

Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!

It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Usisugue makalio vitini na kusubiri mshahara.
Kafanye biashara na wewe ili ulipe kodi.
 
Tanzania wafanyabiashara wanalipa Kodi kubwa sana kuliko Nchi zote za sadc hapo SA ni 15% ya faida na ukiwa mfanyabiashara mdogo ufatiliwi kabisaa kama zambia hapo bongo box mbili mtu anaenda jela umasikini umewaingia kwenye damu sio bure...na Sheria za Kodi zipo wazi mapato yako kwa mwaka yakivuka kiasi fulani ulipe hivi...
 
Usisugue makalio vitini na kusubiri mshahara.
Kafanye biashara na wewe ili ulipe kodi.
Kama hiyo ndo Motto ya kufanya biashara, kwa nini wanalia-lia kila siku? Kodi kodi!
Soma message yangu #6. Usidhani kila anayefanyabiashara ni kutafuta kukwepa kodi. LIPA KODI kama mtu mwingine.
 
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.

Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!

Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!

It's useless to play lullabies for those who cannot sleep

Mliosomea kukusanya kodi mmekuwa kama robots. Hamkuelewa somo. Mnadhani kuua biashara ndio kukusanya kodi.
Nani aliwadanganya kuua biashara ambayo hamna mchango wowote kuziazisha, ndio kukusanya kodi?
Msipoanza kuumiza vichwa vya kuongeza idadi ya walipa kodi, na kukazana kulazimisha watu wachache wawalipie watanzania wote kodi, mtafeli.
Tanzania walipa kodi ni wachache wakati wapo wengi wanazalisha vipato na hawalipi kodi. Kaongezeni wigo wa kkodi.Hizi kodi za kulazimisha hamtafika popote.
Hamuoni aibu kurudi nyuma na kuanza Kudai kodi kwenye mahesabu ambayo mlifunga wenyewe? Kama mmeshindwa kazi muache wachukue wengine
 
Alipe kodi vipi
1wakati hawatengenezi faida
2.Hakuna mazingira ya uwezeshaji
3.Serikali hamna wanachowafanyia mbali na kuonekana siku za kudai kodi
4.kodi ina viwango vikubwa inakaribiana kabisa na turnovers zao it's just like ukianzisha biashara serikali ndo inapata kula na kupunguza mtaji wako
5.Kuhusianisha biashara na mlengo wa kisiasa
6.Political insecurity(risks) ,yaani usipopendwa tu hata na diwani biashara yako inapigwa neno moja tu ,wanakuharibia reputation na kushuka mapato
7.utadai vipi kodi wakati mindset ya kiunyonge Tajiri yoyote ni mwizi ,mnyonyaji na mzurumaji wa taifa?(mhujumu uchimi)
8.Sheria nyingi za biashara zinaadhibu badala ya ku create room ya negotiation (resolution)
9.Mazingira ya ujasiamali mabovu
Ongezeeni wadau

Kuna vilaza wamejaa kwenye ofisi za wakusanya kodi, wanadhani kutumia nguvu ndio dawa ya kusaidia mambo yaende.
 
Wafanyabiashara hawakatai kulipa kodi ila muda mwengine hubidi kupitia njia za pembeni kwasababu za baadhi ya watu wasiowaaminifu(wakusanya Kodi) unaweza tajiwa Kodi inayosonsomola hata mtaji wako wote! Halafu Kuna Kodi haziangalii umepata faida au hasara wao wanachota tu!. Nenda kafatilie magufuli alivyoita wafanyabiashara ikulu utaelewa changamoto zao.

Unatoa mzigo bandarini umelipa Kodi upo barabarani bado unakamatwa ulipo tozo sijui za mdudu gani! Ukifikisha mzigo bado Kuna Kodi za leseni huko. Halafu ukija kuuza bidhaa bado mteja analalamika apunguziwe! Sasa kwa haya yote kwanini mtu asipitishe mzigo wake bandari bubu!

Mambo ni mengi fatilia.
Nimo ndani ya sekta hii ya biashara. Sehemu kubwa ni uzembe wa wafanyabiashara. Mtu anaingia kwenye biashara bila kujua mahitaji ya kisheria ya biashara yake. Angalia sheria za nchi zikoje, usiangalie waliomo wanafanyaje kukwepa hili na lile. Angalia kodi gani zinalipwa. angalia soko lako. Je, utapata faida? Then ingia. Usije faida kupitia uharifu. Siku ukisimamiwa vizuri utalia tu!

Wengi wanajiingiza kwenye biashara kwa mategemeo ya kukwepa kodi hii na ile. Nitahonga TRA, nitapunja mishahara, Sitalipa NSSF, nk. Huo ni upuuzi! HAyo yote yanapozuiliwa ndo mtu anakuja na hdithi za tupunguzie kodi, oooh mazingira siyo rafiki, oooh nchi jilani, oooh tunafunga. These are just rubbish!
 
Back
Top Bottom