Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ila hizi fikra fupi kama mamba eti akihisi manyunyu anakimbilia mtoni asilowane ni shida tupu.Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!
Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!
It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Ninakubali mkuu, changamoto zipo kwa pande zote. Hata wakusanya kodi baadhi siyo waaminifu. Ni kutafuta mbinu za kufichua maovu yao na kuyaweka hadharani.Wafanyabiashara hawakatai kulipa kodi ila muda mwengine hubidi kupitia njia za pembeni kwasababu za baadhi ya watu wasiowaaminifu(wakusanya Kodi) unaweza tajiwa Kodi inayosonsomola hata mtaji wako wote! Halafu Kuna Kodi haziangalii umepata faida au hasara wao wanachota tu!. Nenda kafatilie magufuli alivyoita wafanyabiashara ikulu utaelewa changamoto zao.
Unatoa mzigo bandarini umelipa Kodi upo barabarani bado unakamatwa ulipo tozo sijui za mdudu gani! Ukifikisha mzigo bado Kuna Kodi za leseni huko. Halafu ukija kuuza bidhaa bado mteja analalamika apunguziwe! Sasa kwa haya yote kwanini mtu asipitishe mzigo wake bandari bubu!
Mambo ni mengi fatilia.
JUzi nimepeleka mbuzi mnadani na nimelipa kodi. Sasa mtu anakuja na story kibao za kuhamia Kenya. So what? GO!
Niko sokoni nina meza yangu tangu nimalize chuo kikuu. Hapa nalipa kodi ya maana kabisa! Bila hata kuzunguka kila kona nikilia lia bila sababu. Lipa kodi. Ukishindwa tafuta unakoona kodi haitakiwi.
Hivi unajua asilimia 18% inakatwa vipi au unarpoka tu?
Wenzetu hapo kenya kodi ni 16%Hivi unajua asilimia 18% inakatwa vipi au unarpoka tu?
Wewe hata TIN hauna huku unadaiwa kodi ya chumba ulichopanga shilingi 15,000/=!Tumezoeshwa kwa miaka mingi mpaka tunafikiri ni haki kutokulipa kodi.
Kwanza pole kwa misiba minne iliyokutokea pale white house. How are you feeling?Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!
Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!
It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Usisugue makalio vitini na kusubiri mshahara.Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!
Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!
It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Ataweza Mkuu anadhani biashara ni sawa na kuandika madudu humu...Usisugue makalio vitini na kusubiri mshahara.
Kafanye biashara na wewe ili ulipe kodi.
Walipe kodi hakuna kuchekeana...
Kama hiyo ndo Motto ya kufanya biashara, kwa nini wanalia-lia kila siku? Kodi kodi!Usisugue makalio vitini na kusubiri mshahara.
Kafanye biashara na wewe ili ulipe kodi.
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua wigo wa kodi, hivyo kama hamkuwa mukilipa kodi, lipeni. Anayekwenda Kenya wasikolipa kodi, aende! Mbona Kenya wanalipa kodi ya ardhi kubwaaa lakini wako kimya!
Mara ajira, mara hasara, visingizio viiingi! Wafugaji wanalipa, wasafirishaji wanalipa, waajiliwa wanalipa. Ninyi wakulima ndani ya viyoyozi hamtaki kwa tishio la kuhama, hameni Mbona wezi wanahamia wanakoruhusiwa kuiba! Too much demands!
It's useless to play lullabies for those who cannot sleep
Alipe kodi vipi
1wakati hawatengenezi faida
2.Hakuna mazingira ya uwezeshaji
3.Serikali hamna wanachowafanyia mbali na kuonekana siku za kudai kodi
4.kodi ina viwango vikubwa inakaribiana kabisa na turnovers zao it's just like ukianzisha biashara serikali ndo inapata kula na kupunguza mtaji wako
5.Kuhusianisha biashara na mlengo wa kisiasa
6.Political insecurity(risks) ,yaani usipopendwa tu hata na diwani biashara yako inapigwa neno moja tu ,wanakuharibia reputation na kushuka mapato
7.utadai vipi kodi wakati mindset ya kiunyonge Tajiri yoyote ni mwizi ,mnyonyaji na mzurumaji wa taifa?(mhujumu uchimi)
8.Sheria nyingi za biashara zinaadhibu badala ya ku create room ya negotiation (resolution)
9.Mazingira ya ujasiamali mabovu
Ongezeeni wadau
Nimo ndani ya sekta hii ya biashara. Sehemu kubwa ni uzembe wa wafanyabiashara. Mtu anaingia kwenye biashara bila kujua mahitaji ya kisheria ya biashara yake. Angalia sheria za nchi zikoje, usiangalie waliomo wanafanyaje kukwepa hili na lile. Angalia kodi gani zinalipwa. angalia soko lako. Je, utapata faida? Then ingia. Usije faida kupitia uharifu. Siku ukisimamiwa vizuri utalia tu!Wafanyabiashara hawakatai kulipa kodi ila muda mwengine hubidi kupitia njia za pembeni kwasababu za baadhi ya watu wasiowaaminifu(wakusanya Kodi) unaweza tajiwa Kodi inayosonsomola hata mtaji wako wote! Halafu Kuna Kodi haziangalii umepata faida au hasara wao wanachota tu!. Nenda kafatilie magufuli alivyoita wafanyabiashara ikulu utaelewa changamoto zao.