Lecheminduroi2
Senior Member
- Jan 7, 2025
- 115
- 325
Njoo universal hapa tutoe lock mkuu, ila mademu wa bar za huku achana nao kabisa mkuuMimi nimeishi Mbeya maisha yangu yote, Airport ndo mtaa niliozaliwa. Nimesoma Mbeya kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu, nimetoka Mbeya mara chache sana na kipindi nikichotoka muda mrefu zaidi ni mwezi mmoja (napo nilikuwa locked up Morogoro).
Miaka kama mitatu iliyopita nilihamia Uyole, maisha ya huku nilishangaa kama ambavyo mtu anaetoka Dar anavoshangaa Mbeya. Huku vitu ni zaidi ya bei rahisi, sio vyakula, sio sehemu za kuishi, sio pisi!
Ndio nimeshangaa kuna mtu alitaka kupotosha kwamba kwasasa Mbeya maisha ni ghali wakati kwa buku Uyole napata menu ya mboga saba