Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa mbeya faida wanazipataje?

Njoo universal hapa tutoe lock mkuu, ila mademu wa bar za huku achana nao kabisa mkuu

Ndio nimeshangaa kuna mtu alitaka kupotosha kwamba kwasasa Mbeya maisha ni ghali wakati kwa buku Uyole napata menu ya mboga saba
 
Ungeangalia pia wingi wa makanisa, ungejua wanyakyusa watu wa Mungu, hata hivyo hesabu waimbaji wa nyimbo za kikristu utajua ni watu wa Mungu. Lakini pia ungepanda mlima Rungwe ungewakuta huko juu wakisubiri kwenda ulaya bila pasipoti.
 
Njoo universal hapa tutoe lock mkuu, ila mademu wa bar za huku achana nao kabisa mkuu

Ndio nimeshangaa kuna mtu alitaka kupotosha kwamba kwasasa Mbeya maisha ni ghali wakati kwa buku Uyole napata menu ya mboga saba
Uyole mboga za majani fungu 1 sh 100 ushindwe wewe Tu😀😀😀
 
mbona hakuna tofauti ya bei hapo, MBEYA wana produce wenyewe all imputs ya hizo menu, while Dar wana import toka upcountry, mbeya ikiwa moja wapo ni suppler mkubwwa wa vyakula Dar. Naona Dar ni cheaper zaidi, uki take account ya garama itokanayo na supply chain from upcountry
 
Chunya si eneo la kilimo, maeneo ya madini huwa makavu.
 
Wapi chips 2500?
 
Nenda Mbeya kisha ufananishe na thiore yako. Usishangae ukienda bucha kununua nyama unapewa na fungu la nyanya bure! Hiyo ndiyo Mbeya.
 
Nimeshangaa na mim et chips 2500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…